dan mruanda akila sahani moja na andrey bikey
salum swedi akimdhibiti vilivyo samuel eto'o kiasi ya kwamba nyota huyu wa barcelona hakuonekana kama yupo uwanjani
dan mrwanda akikatisha kwenye uchochoro wa rigobert song. pamoja na kukosa mabao mawili ya wazi leo dan mruanda alikuwa mwiba kwa simba hawa wasiofugika
andrey bikey (kulia) akilambwa kadi ya njano kwa kumfanyia rafu dan mruanda huku rigobert son akitaka kuleta lalamu.

Bwana Issa haukupata picha ya Song mdogo?Napenda the way anavyocheza.Slow but sure.He looks so sexy and so does Eto'o.
ReplyDeleteASANTE KWA KUTUPA UKWELI KWANI MTANGAZAJI MMOJA WA TV ALISEMA AMEPEWA KADI NYEKUNDU KWA KUMJIBU VIBAYA REFA! NADHANI MTANGAZAJI ALITAKA TUMUONE KUWA YEYE NI MZALENDO SANA.
ReplyDelete