Fani ya urembo au ulimbwende nchini Tanzania inazidi kukua na kujipatia umaarufu siku baada ya siku.Lakini ili fani yeyote ikue au iendelee, ni lazima pawepo mtu au watu ambao wanaamini kwamba inawezekana na pia kuna sababu za kutosha za kuwepo kwa fani husika.
Mtu au watu hao lazima pia wawe tayari kujitolea,kwa nguvu na mali, kuhakikisha ndoto zinatimia, malengo yanafikiwa na mafanikio yanaonekana. Miongoni mwa watu hao ni Maria Tsehai Sarungi (pichani), Mkurugenzi wa kampuni ya Compass Communications ya jijini Dar-es-salaam ambao ndio waandaaji wa Miss Universe,Miss Earth, Miss International na Miss Tourism kwa upande wa Tanzania.
Nenda www.bongocelebrity.com upate zaidi
namzimia maria toka alivyokua zanaki secondary..shes intelligent sana,katulia.
ReplyDeleteGo girl, keep it the good job.
ReplyDeleteI also read your interview and am very impressed with your work and passion. U'r one of a kind, I truly admire you nd your work.
Ni mimi,
Your former classmate; Zanaki High School.
Maria ni dada mkuu wetu tokea O/bay primary school. Go girl!!!!
ReplyDeleteJamani huyu si ndiye Maria Sarungi aliyesoma Lake Secondary -Mwanza alikuwa anakaa Ghana .....alikuwa na dada yake pia anasoma Lake walikuwa watoto bomba sana Lake... kama ni yeye keep it up...
ReplyDeleteMdau wa Karagwe...
Maria unawaka hivi? Sitaji jina langu ila unakumbuka mtu uliyemwambia kuwa alipoondoka tu, mambo yamechanganya Bongo, pale MovenPick?
ReplyDeleteVipi, ameshaolewa? Kama bado je ninaweza kuwasiliana naye vipi kwa majadiliano zaidi?
ReplyDelete