Mchuano wa kumtafuta mrembo mwenye mvuto zaidi katika Mtandao huu umepamba moto. Mshindi atajitwalia taji la miss globalpublisherstz.com na kitita cha shilingi 500,000 za Kitanzania. Mchaguaji ni wewe mwenye mtandao huu, unachotakiwa kufanya ni kupiga KURA YAKO kwa ‘ku-klik’ kwenye jina la mrembo wako (ORODHA YA MAJINA YAO IKO HAPO KULIA) kisha bonyeza neno VOTE lililopo chini ya logo ya VODACOM na tayari utakuwa umeshampigia kura mrembo anayekuvutia. Kuangalia nani anaongoza hadi sasa, bonyeza RESULTS. Piga kura yako kadri utakavyoweza, picha zaidi za warembo hawa zipo kwenye ‘gallery’ ya BONGO CELEBRITIES upande wa kushoto au mwishoni mwa ukurasa huu. Tembelea pia mtandano rasmi wa MISS-TANZANIA.COM Bila kusahau mtandao wa kampuni yako ya simu ya VODACOM.CO.TZ ujionee tofauti!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...