Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa unyenyekevu akitoa pole kwa mjane wa rais levy mwanawasa wa zambia aliyezikwa leo huko lusaka kwa heshima zote za kitaifa, katika mazishi yaliyohudhuriwa na viongozi wengi wa afrika akiwemo JK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 30 mpaka sasa

  1. Bob! Umeonesha heshima ya Kiafrika kabisa.

    ReplyDelete
  2. pozi la jongwe laini mi hoi marehemu si ndo alimpinga jamaa kuhusu zile silaha kutoka China kweli poll-tricks noma

    ReplyDelete
  3. JOGOO WANGU WA AFRIKA....!
    MIMI NAMPENDA SANA HUYU BABA YUKO MAKINI SANA WEST WANATAMANI WANGEMPATA KAMA MAREKANI WANAMTAKA MACCAIN KWANINI WASITAFUTE CHUMA CHA PUA KAMA HIKI KIBOKO CHA WAZUNGU. MIMI NAMPENDA HUYU BABA KULIKO HATA MZAZI WANGU BABA YANGU MZAZI.NAMTAMANI HUYU BABA ANGELIKUJA KWENYE GRADUATION YANGU MZUMBE SIKU ZILE NILIPO MALIZA CHUO NINGEFURAHI SANA, HATA KWENYE PAJA LANGU LA KIUME NIMEANDIKA MUGABE NI JOGOO DUME LA KWELI. NI MANENO NILIYO YAPANGA KWENYE PAJA YAKAPAMBIKA.JAMANI HUYU BABA NAMUHUSUDU SANA, HATA MZUMBE WANAJUA KUANZIA YULE MWALIMU WETU ZERUZERU HADI PRINCIPAL WALIKUWA WANANITANIA ETI MTOTO WA KIUME WA MUGABE BASI NILIONA RAHA MWENYEWE ACHA TU. MUNGU MBARIKI HUYU JOGOO WA AFRIKA!

    ReplyDelete
  4. KUMBE MUGABE NAE ANAJUA KUTULIA?MIE NILIJUA MAMBO YAKE UBABE UBABE TUU...NA GOTI PIA?MHHHHH MUGABE ACHA KUJOKE KUMBE NA WEWE MWOGA WA KUFA??

    ReplyDelete
  5. Jongweeeeeeeeeeee!nimekubali baba..kweli unajua kufariji mama 'etu...yaani hapo umetulia kama huna u-tyson vile..tehe tehe tehe te te te te

    ReplyDelete
  6. I love that!!

    ReplyDelete
  7. Mara anamuoa mke wa pili. hahah

    ReplyDelete
  8. Hii picha ni kali, hasa ukizingatia Mwanawasa ndo alikuwa mstari wa mbele, kama mwenyekiti wa SADC kupinga state sponsored violence ya zanu pf dhidi ya MDC kuelekea kwenye uchaguzi.

    Na akapendekeza kwamba uchaguzi uairishwe. Mugabe hakusikiliza ushauri huo, na inawezekana kwenye mkutano wa AU marehemu angekuwa mwiba mkali kwa Mugabe, hata zaidi ya ma rais wenzake ambao kimsingi walikataa kumtambua kama rais. Bahati mbaya alipata stroke mwanzoni tu mwa mkutano.

    Hivi Chiluba alihudhuria kweli mazishi? maana marehemu naye ali mshughulikia ipasavyo kuhusu masuala yake ya udokozi wakati wa utawala wake.

    Eh! Mwanawasa, a true son of Africa! Mmoja wa ma rais wachache katika bara hili alikuwa anatawala kwa manufaa ya wananchi wake. Zambia wamempoteza shujaa, kweli death can be cruel.Lakini kazi ya Mungu haina makosa. God bless you Mwanawasa, may you rest in peace. May God give comfort from agony to your wife and family.And may God bless Zambia with a leader of your stature.

    ReplyDelete
  9. Naam Mugabe.... hapo nimeshindwa kutoa mchango!

    ReplyDelete
  10. Kumbe Mugabe kama wanaume wazimbabwe wengine ni babe tu kwa wanaume wenzie kama Bush na Tony Blair na akina Kikwete!

    Akifika kwa wanawake kumbe huwa yuko hoi hivyo!


    Wanawake Tanzania njooni Zimbabwe mpate wanaume wanaopigia magoti wake zao.Achaneni na midume mibabe ya Tanzania isiyojua kubembeleza wanawake.

    ReplyDelete
  11. hii ya Jongwe nimeipenda! Jamaa anaosha nyota kijanja, maana Marehemu alikuwa anampinga waziwazi msimamo wa Jongwe kuhusu utawala wake.

    hii ni dhahiri yale mambo ya 'marehemu alikuwa mtu mzuri sana.....'

    Poleni Wazambia kwa msiba uliowakuta

    ReplyDelete
  12. Much respect for Mugabe. He is got the balls to stand up to th west. The true African liberator! I hope one day TZ will have a strong leader like you. I wont hesitate to be the candidate. Mafisadi better watch out! I am coming to get ya.

    ReplyDelete
  13. Kwa jamii zetu za Kiafrika kufa kufaana!
    si mmeona viongozi wa zambia wanavyopigana vikumbo!\\

    sasa naye joogoo la afrika anataka afanye kweli kama Mzee Mandela kwa mjane wa rais wa Mozambique!

    wait and see...|{:-:}|

    can we bet!??

    ReplyDelete
  14. Kama vile anamwambia mamaa pole sana nilipata mshtuko sana kuskia msiba huu,na nimejifunza kumbe saa ya kufa ipo karibu hv ? Natakiwa nitubu kwani hata sisi tupo njiani pole saana jamani

    ReplyDelete
  15. This is a Publicity Stunt,ladies and gentlemen,with all due respects!Call it advertising or abracadabra in politics of the gender! janja ya nyani.

    ReplyDelete
  16. anon sept.4,2008 9:08 AM usijeshangaa, teh teh ah yote yawezekana,jongwe linapropose!kwi kwi kwi

    ReplyDelete
  17. haya tena wenye vichwa vya guruguru/kenge nao pia wametafsiri vya kwao anon sept 04,9:08. kuna usemi unasema limjazalo mtu ndilo limtokalo.

    ReplyDelete
  18. Mh makubwa hata huyu anapiga magoti kweli kufa ni kitu kingine,anyway ndo mila zetu waafrika jamani

    ReplyDelete
  19. Nalitolela noma, babako kakukosea nini hadi umpende Mugabe kuliko babako.
    Kama ni kumpenda tu, ungesema ingetosha, lakini hadi kumpenda zaidi ya baba yako mzazi.. mhh. Baba yako akijua atasononeka sana.

    ReplyDelete
  20. hivi wewe Nalitolela are off your mind? what kind of comment is that? watu wana weka comments wewe unaleta story? haya subiri watu watoke kazini kubeba box?!!!

    ReplyDelete
  21. IVI MI NAJIULIZA SANA KWANINI WATU MLIOPO NJE MNAPENDA SANA KUTUKANA KWENYE COMMENTS ZENU AU KUPAKA KWENYE VLOG MBALIMBALI TU NI NINI HASWA?

    MNA STRESS SANA UKO MLIPO KWANI?

    ReplyDelete
  22. Mugabe - Now that your husband is dead I would like to marry you just like Mandela married Mrs Machel.

    ReplyDelete
  23. Anonym. wa 7.03Pm unalako jambo. Kwanza hata kiswahili hujui kuandika, sio UKO, andika HUKO!!! Mwee!! Kama huwezi andika siuache, maana mnapokosea kuandika inaletaga maana nyingine, sikia hapo sio nyengine, maana hukawii wewe.#@&%????!!!@@%~@@$***mbaff! XcXchwiii.
    Nani kakuambia wapiga box tuna stress? Tuna starehe kwa taarifa yako.Guruguru mkubwa wee. Halafu hapo huwa hatutukani ni kukupa facts endapo kuna mchemko wa aina yoyote. Unataka tushabikie tuu hata kama mnachemka. We vipi wee.

    Mpiga box.

    ReplyDelete
  24. Hivi huyu ni yule nalitolela wa Mzumbe ama jamaa anatuzuga tu? mbona huwa hatoni comenti kama hizi nilisoma comenti zake nyingi anajiheshimu na ni mtu wa busara kuanzia mzumbe! Ama na yeye kawa mbeba box maridadi?

    ReplyDelete
  25. Ndiyo huyo huyo Nalitolela wa Mzumbe tunamjua ni smart sana lakini demu lake likimpa stress anaandika vitu vya ajabu sana habebi box lakini sometimes anakuwa kama kalogwa ama anamajini vile. sasa pumba gani hizi anaandika kwenye blog ya jamii.

    ReplyDelete
  26. Naitolela, pole sana! Jitahidi kupunguza ujinga wako huo, hata kama mama yako alikueleza ukweli kuhusu nani baba yako...haimaanishi huyo aliyekufuga mpaka hapo ulipo hakuwa mwanaume, mushukuru huyo huyo aliyekutunza, hao akina Bob walikuwa waharibifu tu!! na ndiyo maana hawkusaidii lolote zaidi ya kukuacha ukieleza siri za familia kwenye huu ukurasa.
    "Obey your instinct" baba yako anaweza akawa huyo huyo Bob au jitahidi uko'nfirm' kwa maza, lakini naomba isiwe matangazo kama ulivyoweka kwenye ukurasa huu...'make sure is not for public consumption' kwasababu 'any way, we're not interested'.

    ReplyDelete
  27. NALITOLELA aka McZobizobi.. ni mimi kaka yako Nshimi..

    inakuwaje unampenda jongwe kuliko baba!? Dah..

    Wasalimu Milano, Karibu tuendeleze libeneke la kusaidia jamii..

    ..Eish!

    ReplyDelete
  28. ndugu wadau, kuna mtu anayepost kwa jina la Nalitolela ambaye kwa muda mrefu nilimpuuza ila naona anazidi sasa. Na hapa kadiriki to go further and use my fullname, Peter Nalitolela. I would just like to make it known kwa wadau kuwa I am not related even remotely to this character. It seems he is on a personal mission to taint my name, for whatever reason, as he always posts under my name and his comments are usually derogatory, demeaning and offensive to others.

    I always post here using my blogger account, that's how you can tell the difference between the post from the real Peter Nalitolela and this other person. I have already reported him to Kaka Michu and he promised me to make an effort to block his/her comments.
    This person, whoever they are, must have seen reference to my time at Mzumbe (Secondary School) being made by one of my mates from High School and mistook Mzumbe to mean the University and he has been posting as NALIOLELA from Mzumbe/Muzumbe University or NALIOLELA Ex-Mzumbe/Ex-Muzumbe.

    ReplyDelete
  29. Musimlaumu kutumia jina Nalitolela kwani sio kosa kwani kila mtu anaweza kutumia provided ni lake pia. Nalitolola=najitoboa kwakimakonde or Nalitolela ni african names ambayo huwa shares among different famillies, so musijali.

    Unajuwa kuna watu hawana baba wa uhakika mfano hawakuzaliwa ndani ya ndoa na kulelewa na wazazi so akichagua Mugabe kuwa babake sio kosa. Anajaribu kufikiria huenda ndie ambaye Mamake alikutana naye somewhere. Sio rahisi but watoto wa aina hii wanasumbuka sana, so nalitolela wa mzumbe kaishi kama digi digi kila mtu anadhani babake sasa. How come utaandika pajani kwamba Mugabe Baba?? shaka yangu nikwamba wasichana huandika mapajani zaidi ya wanaume, so isije huyu jamaa ni chakla.

    Mzumbe umeishi bweni gani?.. Kinje, matola, or sophia?

    G7
    Uk

    ReplyDelete
  30. G7, I am sure huyu jamaa sio genuine. Read his comments here
    -----------------------
    1. mdau asaka wa ubani (http://issamichuzi.blogspot.com/2008/09/mdau-asaka-wa-ubani.html)

    2.shukrani na kunradhi za mdau HIV+ev (http://issamichuzi.blogspot.com/2008/09/shukrani-na-kunradhi-za-mdau-hivev.html)

    3.Mdau HIV+ve atafuta mwenzi (http://issamichuzi.blogspot.com/2008/09/mdau-hivve-atafuta-mwenzi.html)

    4.mugabe atoa pole
    (http://issamichuzi.blogspot.com/2008/09/mugabe-atoa-pole.html)

    5. £500m dream team (http://issamichuzi.blogspot.com/2008/09/500m-dream-team.html)
    -------------------------

    You can clearly see that this guy was purposely posting nonsense to create the impression that it was me and taint my name; for I doubt even a person of sub-normal intelligence would seriously write some of these comments.
    In one of the posts he even went so far as to use my full name, Peter Nalitolela (not this posts though as I'd mistakenly wrote before). I am yet to come across a Nalitolela that wasn't related to me; and none of the ones who are (related to me) went to Mzumbe Univ.

    One of my mates recently made refernce to my time at Mzumbe (Secondary School), and I believe this imposter misunderstood and thought I went to Mzumbe University. Hence the "Ex-Muzumbe"

    By the way, Nalitolela means najichukulia not najitoboa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...