Ras Nas akiwa na prizenta wa BBC Laura Hubber
Msanii mkongwe wa muziki wa reggae na muziki wa dansi, Ras Nas au Nasibu Mwanukuzi, amefanya mahojiano na BBC prizenta Laura Hubber wa kipindi maarufu cha 'The Beat'.
Mahojiano hayo ambayo yanahusu albamu mpya ya Ras Nas, Dar-es-Salaam, yalifanyika 2 Septemba jijini Oslo, Norway na yatarushwa wiki mbili zijazo.
Wadau kaeni chonjo, wabongo twakubalika!
Kipindi hicho cha BBC husikilizwa na mamilioni ya watu. Vigogo wengi wa muziki hapa duniani wamepitia pale kwanza kabla ya kulipuka.
Zaidi ya kufanya kazi ya BBC Laura Hubber vile vile ni prodyuza mmojawapo wa 'American Next Top Model'.
Siku na taimu ya kipindi tutawajulisheni.
Asanteni
KonPro – Kongoi Productions
And
Hassan Nganzo
Jamani niondoeni tongotongo,kuna jambo lantatiza mwenzenu, hivi ukiwa Ras au JAh, ni lazima uache madevu bila hata kuyapitisha chanuo?
ReplyDeleteNaomba msaada na waosah vinywa osheni kwa kunielewesha.
Naomba kuwasilisha.
Q
Weye Q vipi. Unaogopa madevu au? Jamaa kayaachia kama anavyotaka. Labda viwembe bei mbaya au ndio staili ya kivyake vyake hiyo. Mwachie huyo jamaa na madevu yake!
ReplyDeleteJAMAA BAYA KAMA DUDU-MTU
ReplyDeleteIt's very easy even a cave man can do it.
ReplyDeleteAnoy wa 6:19 PM tuletee picha yako tuiangalie basi, mbona unajificha. Unaona haya?
ReplyDelete