Waislamu wote mnatangaziwa kuwa salat Taraweeh itasaliwa katika chuo cha Monor Park, nyuma ya duka la Sadi na Monor Park Station.
Salat Taraweeh itaanza baada ya Isha 2130 kila siku, Waislamu Wote Mnakaribishwa.
Maelezo zaidi wasiliana na Maalim Abdallah
07828804152
Ally Muhdin
0770786069
E- Mail
RAMADHAN KARIM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...