mshindi wa rafda 2008 saidi tambwe akiwa na modo wake aliyevaa vazi alilobuni katika fainali za redds africa designers awards (rafda) hoteli ya kempinski, dar
jaji mkuu, Sonwabile Ndamase (mwenye jaketi la kijani, ndiye mbunifu wa shati la mandela) akiwa na meneja wa redds george kavishe (kulia) na washindi wa rafda 2008
ivi huu ndo uandishi gani?? eti modo wa kimasai!!
ReplyDeleteNaomba nieleweshwe kwa nini yule modo wa "kimasai" kaandikwa kabila lake na huyo mchekeshaji halijaandikwa au halijulikani?
ReplyDeleteneshno kanenepa...
ReplyDeletealiyeshinda ameonesha kipaji cha hali ya juu, watanzania tunajitahidi sana siku hizi.. big up. Can Jokate be as well mc wa kitchen party au sendoff au hata sherehe yeyote ya kijamii... eti kuna mtu ambaye ameshamshuhudia huko??? naye anayaweza kweli, i like her.