Haya tena wadau, ile party yetu iendeleayo sweden ya African Night itafanya mambo makali sana safari hii pale mjini stockholm,
sweden
club Redlinediscobar
Jumamosi tarehe 15.11.2008
hapo kuna kusherekea ushindi wa obama hivyo ni budi kwa kila mwafrika kujitokeza na kusherekea huu ushindi kwani ni kwa waafrika wote kwa ujumla na ni historia kubwa katika asili ya kiafrika.

kwa maelezo zaidi kuhusu kuja lcub gonga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Siku nikifika mjini kule Stockhom, nitafurahi sana kwa sababu nampenda sana Mary. Mary wangu ehee, ahhhaa Mary we! Hivi kweli huyu Mary wa Twanga pepeta yuko huko Sweden? Wimbo umesimama sana huu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...