Mfanyakazi wa Zain Tanzania, Blandina Billy, akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kumpata mshindi wa tisa wa sh. milioni 1 wa promosheni ya Endesha Ndoto Yako 2 ya Zain Tanzania, Mussa Ramadhani wa Usa River, Arusha, jijini Dar jana. Shoto ni mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Humudi Abdulhussein, Meneja (Kitengo cha Masoko) wa Zain Tanzania, Ellen Lupili na kulia ni Ofisa Mawasiliano ya Ndani wa Zain Tanzania, Dangio Kaniki.
Home
Unlabelled
mdau wa usa river akomba milioni moja ya zain
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
angalau leo zain wametubadilishia nyuso. twisa, njunju na bosi ebu pumzikeni.
ReplyDeleteCeltel naona kuna vifaa huko mmmh! haya Bwana, fimbo ya mbali haiui nyoka!!
ReplyDelete...damn,huyo wa kulia kabisa mwenye nyeupe nimefika,nitakuja hapo ofisini kukusalimia'ila usilete maringo tuu,States watoto kama wewe wapo ila nataka mswahili kama wewe,michuzi utakuwa mshenga na usisahau kifuta jasho kipo na suit mpya utapata!
ReplyDeleteOohh Blandina dear nimefurahi kukuona.Nakukumbuka sana,wish u all best mwaya katika kazi.
ReplyDeleteRafikiyo,mama Nanaa(UK)
Blandina na Dangio sio mchezo!! Haya weee!! Jamani mmeolewa?
ReplyDeleteJamani Dangio I miss u....ndio ameshaolewa tayari huyo mrembo kwa nyie wote mliouliza.
ReplyDeleteINAPENDEZA KUONA BONGO SASA NA DADA ZETU WANAZIDI KUWA WAZURI! WE ARE PROUD OF YOU DARLINS VIPI VILE VIPODOZI FEKI SIKU IZI HAKUNA TENA? MWAA!
ReplyDelete