A GLIMPSE AT SOME OF THE KEY EVENTSDAY


Day 1: Monday 13 April 2009
Poem Performance by Prof. Kofi Anyidoho
Nyerere Annual Lecture Part 1 on 'New Imperialisms' by Prof. Wole Soyinka


DAY 2: Tuesday 14 April 2009
Nyerere Annual Lecture Part 2 on 'New Imperialisms' by Prof. Wole SoyinkaMwalimu Nyerere Documentary by M-NetSpecial Song by Karola KinashaPremium Show of Mwalimu: The Legacy of Julius Kambarage Nyerere by ZIFF


DAY 3: Wednesday 15 April 2009Nkrumah Centenary Lecture: ' Beyond His Place, Beyond His Time: Nkrumah's Heritage in the New Millenium' by Prof. Kofi AnyidohoKwame Nkrumah's Pan-Africanism - An Interactive Dialogue led by Prof. Joseph Oloka-OnyangoThinking with Mwalimu - An Interactive Dialogue led by Prof. Issa Shivji


DAY 4: Thursday 16 April 2009Introducing the Book 'The African Union and New Strategies for Development in Africa' edited by Said Adejumobi and Adebayo OlukoshiVice Chancellor's Palaver on 'Pan-Africanism and Development' led by Prof. Rwekaza MukandalaValedictory by Prof. Adebayo Olukoshi
DAY 5: Friday 17 April 2009A Day of Academic Reflections: Symposium on the Teaching of History at the University of Dar-es-Salaam (UDSM)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Katika kazi kubwa aliyoifanya hayati ni azimio la arusha, maana kuna watu wasingegusa shule milele kama hali ya wakati wa mkoloni ingeachwa iendelee baada ya uhuru.

    ReplyDelete
  2. Je, walioondoa Azimio la Arusha watahudhuria?

    ReplyDelete
  3. Kwa nini inaonekana kuwa Wanigeria wame dominate katika utoaji maada katika siku hiyo ya Mwalimu???

    ReplyDelete
  4. watanzania,naomba kuwahamasisha kuhudhuria kongamano hilo, kwani huwa kuna mambo mengi sana ya kujifunza hata kupata matamanio ya kuongeza elimu kutokana na uchambuzi wa kitalaamu unavyotolewa na wanazuoni hao.ni kwamba tu namisi nafasi hiyo, lakini pulizi kama upo bongo usiache kwenda.

    ReplyDelete
  5. Anon 3 Wanaijeria ni 2 tu hapo. Wa kwanza, Wole Soyinka, anakuja kama Kinara ya Fasihi mwenye Tuzo ya Nobel na amewahi kuuchambua Ujamaa wa Mwalimu na kuuandikia Shairi. Wa pili ni Adebayo Olukoshi ambaye anakuja kutoa Mhadhara wa kuaga maana ndio amemaliza muda wake kama Katibu Mtendaji wa Baraza la Kukuza Utafiti wa Sayansi ya Jamii Afrika (CODESRIA). Hivyo imetokea tu kuwa hawa ni Wanaijeria. Ila huyo Kofi Anyidoho ni Mghana. Na hao wengine ni wa hapa Afrika Mashariki.Pia ukiangalia ratiba kamili utaona kuwa pia kuna wazungumzaji/wageni kutoka maeneo mengine, akiwamo mtoto wa Frantz Fanon na mtoto wa Kwame Nkrumah.

    ReplyDelete
  6. KUNA HAJA YA KUFUNDISHA HISTORIA NA MCHANGO WA BABA WA TAIFA MASHULENI,INANAONEKANA KUNA WATANZANIA WASIO ELEWA UMUHIMU WA MWALIMU,MWALIMU ANAHESHIMKA ZAIDI NA WASOMI DUNIANI KOTE ACHILIA MBALI BAADHI YA MABEBERU WALIO JARIBU MKUCHAFUA NA KUTUMIA VIBARAKA,KILA SIKU INAPOSONGA MBELE NDIO JINA LAKE LINAVYOZIDI KUKUWA HONGERENI WANDALIZI WA SHUGHULI HII.

    ReplyDelete
  7. Hiyo ratiba anayosema Chambi iko wapi? Tuwekeeni basi

    ReplyDelete
  8. Pamoja na mazuri tujue kuwa hali iliyopo sasa ameileta yeye na hata viongozi tulionao kawatayarisha yeye kwa hiyo tukitaka kuwa wawazi tuyazungumze yote!!

    ReplyDelete
  9. Anon wa 2 kutoka mwisho, hiyo ratiba iko kwenye kifurushi (attachment) cha kurasa kama 3 hivi sasa sijui kama Kaka Michu anaweza kukiweka hapo bloguni maana na yeye anacho. Ukiweza nitumie barua pepe kwenye chambi78@yahoo.com nami nitakumuvuzishia moja kwa moja. Kila la heri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...