Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Asante sana Michuzi, hata mimi hizi kalenda zimenipa shida sana kwani hakuna utaratibu wa kuwasiliana na watu wa Baraza la Waislamu kabla ya kuchapisha. Ni aibu snaa sana, lakini sijui aibu kwa nini

    ReplyDelete
  2. YANI MIMI NILISHAULIZA UKO NYUMA AYA MWASWALA NIKAONEKANA "mdini"

    jaman tuna ratiba zetu za maana maishani na wengine time is money,tuna plan za kila siku na kazi nyeti...
    sasa tusipojua mitarehe ilotulia mnafikiri tutafika kweli??

    ivi izi kalenda anaechapa yaweje asiulize basi ilo baraza la kiislamu watoe angalizo b4 hawajachapa??

    mara 9/3,10/3,21/3??? SIO AIBU YANI NI VITUKO
    *@/~##&$=***
    wengine tumeamua kufanya tu shughuli sasa hatuangalii sikukuu izi za kalendani

    ReplyDelete
  3. wanaopenda pilau utawajua 2, yn watasoma mara 2,2 kusoma hiyo tarehe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...