Habari Mzee Michuzi,
mimi ni mdau wa Michigan, USA Mtoto wa Mnyamala A, napenda kutuma picha zangu kwenye web na kusalimia ndungu na marafiki popote walipo.
Email yangu ni
pia napenda kuwasalimu wahitimu wa kidato cha sita Tambaza mwaka 1999.
Asante,
Mendrad mchopa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. TAMBAZA(TAzama MBAli ZAidi) oyeeeeeeeeee.moto yetu mnaikumbuka?Tumepata salam.Ni mimi ex-Tambaza from uholanzi

    Cheers 1999 graduates

    ReplyDelete
  2. sambukile" TAMBAZA!!!!!
    Eee bwana unanikumbusha mbali sana ukiitaja tambaza au T A,kwa kifupi,alafu vijana wa tambaza wamejaa sana ndani ya north america, katika mambo ya kutafuta maisha, unajua tena ukimaliza tambaza ukishindwa maisha umeyataka mwenyewe!!
    ila mimi nilimaliza miaka ya 1993 ila nimefurahi sana kunikumbusha mambo ya university of tambaza,UD PALE MLIMANI WANAJUA HILO hata pale muhimbili university wanajua,ila sasa hivi Tambaza hamna O"lEVEL inasikitisha sana!!!!!!

    mdau north america!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Poa Mendrutuuuu nitakucheki bab!

    ReplyDelete
  4. o level ilifungwa kwa sababu tambaza walikuwa wanaitumia science vibaya walifikia atua hata ya kutengeneza mabutua duh! wizara ya elimu ikaogopa na kuifutilia mabali o level, but ile shule ni hamna kama ile kwani imetoa viongozi wa serikali,madaktali marubani, waendesha meli wahasibu ndio husieme mambo ya somo la makabati.

    ah! sisemi sana poa mjomba chopa.
    Mr kada ndani ya Urusi!!!!!

    ReplyDelete
  5. Hamna chochote bangi tu zilikuwa zinawasumbua,kwani fujo ndo sayansi?hao viongozi mnaowasema wangekuwa wanafanya fujo wangekuwa kwenye nyadhifa kama hizo.Uongozi unaenda na nidhamu msidanganye watoto.

    ReplyDelete
  6. Ebana jamaa upo kama pacha wake Benard Msangi...duh!, mnaudugu nini?

    ReplyDelete
  7. duh waosha vinywa wamelala au michuzi ananyonya comment za ushuzi

    mbona wengine wakiweka picha hapa tena kutoka usa wanaambiwa wanatafuta wachumba? wewe mwenzetu vipi hebu tueleze siri ya kuwafunga macho waosha vinywa. ninataka sana kutuma salamu kwa ndugu na jamaa kila siku humu lakini miye ngozi yangu nyepesi...always nimebakia behind the scenes

    ReplyDelete
  8. wewe unayesema tambaza mibangi, mimi nadhani wewe ulisoma Azani sec au Jitegemee mgulani!!!
    Nyundo.

    ReplyDelete
  9. Da!-"Tambazana"!!!! nawakumbuka sana mabingwa,shule ilikuwa makini,imetoa watu ila kwa mwenendo wake ulivyokuwa unaendelea,TUNGEKUWA NA "MUNGIKI" kibao Bongo maana ni hatari!!
    bora ilivyochanganywa,na O-level kufutwa.
    lilikuwa jina kubwa hilo na denti wa Tambaza alikuwa na ka-extra confi dhidi ya wengine-kifua mbele nk.kwa sasa makini.
    ....mdau

    ReplyDelete
  10. Wewe kaka, ulikuwa mtu makini sana enzi zako! Mbona hujarudi nyumbani hata kusalimia toka zama hizo?????
    Huku tuna Bills na tunahitaji ujuzi wako pls.
    Ex "TambaZANA"

    ReplyDelete
  11. TambaZana oyeeeeeeeeeeeeeeeee

    si bure ao viongozi unaosema now wako madarakani wengi wao ndo MAFISADI,EPA,RICHMONDULI,DOWANS,BoT

    bangi tupu!!bora o'level wavotolewa

    ReplyDelete
  12. TAMBAZA ILIKUWA CHAMA KUBWA TULIKUWA TUNACHACHAFYA DAR NZIMA TANZANIA NZIMA WANAJUWA TAMBAZA.
    HIZO ZILIKUWA NI CHECHE ZA UANAFUNZI KITABU KILIKUWA KINAENDA NA TUKIJA KWENYE VALANGATI NDO USISEME ...KAMA HUKUPITIA TAMBAZA WE POLE ISHIA KUPONDA TU ..TULITESAAAAA.
    NAJUWA AZANIA KINONDONI NA WENGINEO WATAISHIA KUPONDA TU. HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH.

    ReplyDelete
  13. TAMBAZA TULIKUWA TUNA WALIMU WAZURI MPAKA WENYE PHD, LAB NZURI,PERFORMANCE NZURI NA WANAFUNZI WAMECHANGAMKA.
    MNAKUMBUKA AMEX? TULIKUWA HATULISHWI MIUGALI NA MIARAGE HATA SIKUMOJA, SIJUI SIKUIZI NASIKIA WAMECHANGANYA.
    TULIKUWA HATUONEWI NA MAKONDA KWANI KISAGO WANAKIJUWA.
    HA HA HA HA GEOFREY KAIRUKI UKOWAPI? TOPAS ANDREW MOSES ,HAMISI WEMBER,HELBERT KITY , MWANAMSOLOPA GANZ? GODFREY KATIMO, ROBINSON KATEBALILA MASERELE,THOMAS KARUNGA,HAMIDU HAMISI,EMANUEL BANDOLA HAHAHAHAHAHAHAHAH MNAKUMBUKA KUNASIKU TULITOROKA TUKAENDA FERY KULA SAMAKI WA KUKAANGA MPAKA KIGAMBONI HAHAHAHAH NAWAMISSSSIS SANAAAAA

    ReplyDelete
  14. acheni uzembe mnajisifu kwa fujo? than is an element of ufisadi. acheni kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...