Issa vipi mbona wanahabari wa nyumbani mnatubania habari tamu kama hii? leo nilikuwa nasoma page ya The Sun ndo nikakutana na hii habari ya mastaa walioko bongo hivi sasa lakini ajabu sijaiona kwenye page za magazeti ya homu na nina uhakika watanzania wengi hawafahamu hii ishu ya hawa jamaa kupanda kilimanjaro. 'Never again' say Kili celebs
Kwa urefu zaidi unaweza kubofya
/showbiz/bizarre/article2301259.ece
mdau NAvy.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. MSAADA TUTANI

    KAKA MICHUZI ASANTE KUNIRUHUSU KELENDELEZA LIBENEKE LA KUPINGA UFISADI NA USENENE.

    HAWA MASTAA HOI KILI, WANAWEZA KWELI KUNISAIDIA? KAMA HAWAWEZI PIA SAWA

    KWA LEO MIMI NAWAANDIKIA WANENE, MH. RAIS, MZEE WA PAMBA, MZEE WA BAGAMOYO, DR. JAKAYA KIKWETE PAMOJA NA RAIS MTARAJIWA 2015, JOHN MASHAKA, WAZIRI MKUU DR. HILDEBRAND SHAYO, MAKAMU WA RAIS JANUARY MAKAMBA, NA BILA KUMSAHAU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MTARAJIWA RIDHWANI KIKWETE, WOTE WA 2015.

    MZEE WETU JK, BADO TUNAMPA KURA 2010 KWA SABABU AMEWAONJESHA RUPANGO WANA EPA NA WAKINA LIUMBE WA MAGARI NYEKUNDU, ISIPOKUWA MZEE WA VIJISENTI NA WAKINA NANIHIII, AMBAO BADO ANAWASHUGULIKIWA NA FELESHI WA MASHITAKA

    NDUGU WAHESHIMIWA, MIMI NDIYE MPIGA DEBE WENU NAMBA RI-WANI, NA HALI NI NGUMU SANA, MSINIACHE. AU WATU WA ZEIN KAMA MNAWEZA KUNISAIDIA NA INTERNET KWA SABABU MUHAJIRI WANGU WA ZAMANI ALINIACHIA KA LAPTOPU LENYE JINA LA IBM ALIPORUDI KWAO, WALL-STREET, COLORADO HUKO MEREKANI. KWA HIYO SITAKI MAKUBWA ISIPOKUWA INTANETI ILI NIWEZE KUENDELEA NA SHUGULI ZA MCHANGO WANGU KWA TAIFA ZA KUPINGA USENENE NA UFISADI

    WANENE, MIMI NIMEKUMBWA NA MATATIZO YA KIUCHUMI AMBAYO YANAWEZA KUNIFANYA NIPOTEE KATIKA ULINGO AU BLOGU YA JAMII. ILA KWA VILE NYIE MPO KWENYE SEHEMU NYETI, NAWAOMBENI MNIKUMBUKE KWANI SERIKALI YETU YA 2015 TUTAKUWA PAMOJA MIMI NIKIWAKILISHA KULE YOMBO VITUKA.
    KUJA KWENYE INTERNET CAFÉ KUCHANGIA DHIDI YA UHOVU KATIKA JAMII YETU, INIGHARIMU TSH. 5,000 KWA WIKI WAKATI KIPATO CHANGU KWA SIKU ZA NYUMA ILIKUWA NI Tsh.100, 000/= NILISHUKURU MUNGU KWA HICHO KIDOGO KWANI WENGINE HAWAPATI HATA ELFU KUMI KWA MWEZI. LAKINI KWA SASA NAONA MATATIZO YA KIUCHUMI YALIYOIKUMBA DUNIA YAMENIKUMBA NA MIMI, KWA HIYO SINA KAZI.

    NAOMBA MNIKUMBUKE, AU MDAU YEYOTE ZAIDI YA NILIYOWATAJA ANAYEWEZA KUSAIDIA ANISAIDIE, NITASHUKURU MKIWASILIANA NA MKUU WA WILAYA MWENZANGU WA TEGETA, NA BALOZI WA TANZANIA, UGHAIBUNI MH. ISSA MICHUZI, AMBAYE ANAWEZA KUNITUMIA UJUMBE ILI TUENDELEZE LIBENEKE LA KUPINGA UFISADI NA USENENE.

    VIJANA MACHACHARI WAMEKUWA GUMZO NA VIVUTIO SANA HATA KWA MAMA LISHE WANAOSOMA GLOBU WA JAMII WANAJUA KWAMBA NYINYI NDIO WATARAJIWA 2015 NA WATAWAPIGIENI KURA KWA VISHINDO. YAANI MTAPATA KURA BILA KUPINGWA MKINIPA UONGOZI WA KUENDESHA KAMPENI KWA WALAHOI WENZANGU

    ZIDUMU FIKRA ZA MZEE WA PAMBA JK
    ZIDUMU

    KIDUMU FIRKA ZA RAIS MTARAJIWA 2015
    ZIDUMU

    ZIDUMU FIKRA ZA MAKAMU WA RAIS 2015
    ZIDUMU

    MASENENE YOTE KAMA US-BLOGGER YALAANIWE
    YALAANIWE

    MAFISADI YOTE KAMA VIJISENTI NAYO YACHAPWE MBOKO
    YACHAPWE

    MALIMBWENDE YOTE YANAYOVUNJA MAGARI YA WATU YAOMBEWE DUA MOLA AWASAIDIE
    YAOMBEWE

    MKEREKETWA, YOMBO VITUKA!!!!
    -------------------------------------------------
    Dakika 30 za Internet Café Zimekwisha

    ReplyDelete
  2. MDAU ULIYETUMA HII POST HATA MIMI NAUNGANA NA WEWE,MIMI MWENYEWE NASHANGAA SANA BINAFSI NILIZISOMA KWENYE HII BLOG.http://passion4fashion-passion4fashion.blogspot.com/ LAKINI BLOG KAMA HII YA MUHESHIMIWA MBUNGE WA NANI HII? KWANINI MNAWAACHIA WAKENYA WAJITANGAZE KUPITIA MGONGO WETU? BADALA YA SISI WENYE MLIMA NA KUITANGAZA NJI YETU?

    AU HUENDA NYINYI HAMJUI HIZI HABARI? MGENI ANAKUJA NYUMBANI KWAKO ETI WENYE NYUMBA HAWAJUI,JIRANI ZAO NDIO WANAJUA INAWEZEKANA KWELI?
    MDAU,CANADA.

    ReplyDelete
  3. Mdau uliyetoa link hii kweli wewe ni Mtz halisi. Hii system ya kucharge kila siku kwenye park kweli inaumiza watu na matokeo yake wanatuandika vibaya na ku demarket soko la utalii. sijui kama wizara inajua hili. yaani kitendo cha ma argent kuwaburuza watu kupanda mlima harakaharaka ili kukwepa charges ni upuuzi mkubwa sana. hebu soma hii hapa chini halafu uamue TZ Ujinga umezidi sisi tunajiona wajanja kumbe tunajimaliza.


    KILIMAKNJARO: IT MAKES YOU SICK
    BY ED DOUGLAS, THE GUARDIAN, UK

    Here's something I never expected to write. Well done, Chris Moyles. Good effort, mate. You've said some grossly unpleasant things on air over the years, but hey, anyone who is prepared to drag their bones up Kilimanjaro for charity, as Chris will be doing next week as part of Red Nose Day, deserves respect.

    From his online biography, I'm guessing that the saviour of Radio 1 hasn't been to over 19,000ft before, except in a pressurised aircraft. But I'm sure he's been training hard and seeking medical advice. The BBC isn't going to let one of its untouchables succumb to any of the deeply unpleasant illnesses you can get at high altitude. People can – and do – die up there.

    What Moyles won't know, however, is that the permit system on Kilimanjaro makes people ill. Rather than paying the national park a one-off charge and taking your time to hike to the summit, you pay for every day you're inside the park boundary. As a consequence, some expedition outfitters rush people up and down the mountain to keep prices low. There's no time to acclimatise.

    Now, the trouble with altitude is that everyone responds to it differently. Moyles might be fine, while his fellow climbers Fearne Cotton and Cheryl Cole might get splitting headaches and vomit everywhere. Who can tell? But as one leading high-altitude medicine specialist told me, you'd be pretty dumb as a novice trekker to climb Kilimanjaro after fewer than five nights on the mountain.

    There are, however, plenty of expedition organisers who will try and get you up there after four, or even three nights. Even reputable charities take part in this lunacy. As a consequence, many trekkers either fail to make the top or get very sick, or both. If you're planning to emulate Moyles and his mates, don't accept this.

    Any reasonably fit adult with no particular weakness at altitude should get to the top of Kilimanjaro without experiencing more than the very mildest symptoms of altitude sickness. The truth is only about half make the summit and most tourists get ill. If you want to turn people off trekking, then send them up Kilimanjaro too fast.

    The tribulations of charity trekkers like Moyles, however, are as nothing compared to those of the local porters who will be carrying his luggage. The minimum wage for carrying a 20kg load up Kilimanjaro is a little over £3 per day. Lots of porters, however, work for less than this, carrying heavier loads than the guidelines allow.

    Many porters also lack proper clothing and have to survive on meagre rations while they're climbing. A third only have one meal a day. If a storm comes in, they are horribly exposed. We know that roughly 10 western trekkers die each year on Kilimanjaro, out of about 30,000 who try it. We have little idea of how many local porters die, because no autopsy is required and deaths aren't publicised in the same way.

    One small charity, the Kilimanjaro Porters Assistance Project, is doing sterling work to change things. They have equipped more than 2,000 porters with proper clothes, held HIV/Aids awareness courses and fought to improve working conditions.

    Unlike the Red Nose Day climb, most of the money raised by charity treks up Kilimanjaro stays in Britain while porters continue to suffer. That can't be right. Let's hope Moyles and his friends give a shout-out to the hard-working team that carry their bags for a pittance – and give them a good tip.

    ReplyDelete
  4. IKULU HAWAENDI KWA STYLE HIYO.

    ReplyDelete
  5. Mdau wa kwanza umenifurahisha sana. Naomba nikupe free access ya 30minutes kila siku katika internet cafe yangu, tuwasiliane kupitia the_rvn10@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. THIS IS BONGOLAND, HAKUNA MTU ANAYEJALI BORA MKONO UENDE KINYWANI. INASIKITISHA HABARI HIZI TUNAZISOMA KWENYE PAPERS ZA NJE ZA NDANI WALA HAZIPO!!!!!!!!!
    HILI NI BONGE LA PR SIJUI WIZARA YA MAMBO YA UTALII WAPO AU WAPO LIKIZO???????????????

    ReplyDelete
  7. Nilisikia sikia kuwa ubalozi wa Tanzania nchini uingereza (kusaidiana na wizara husika ya tanzania-utalii.....) kama wakisema wamejaribu kujitangaza kwa kuweka matangazo kwenye mabasi ya nchini humo kuhusu mlima kilimanjaro, na mengineyo ya utalii wa kitanzania. sijui kama ni habari ya kweli au matangazo hayo hayakuwa na effect yoyote labda. Bado sidhani kama kuna jitihada zimefanywa za makusudi kuwezesha kujitangaza na kujulikana kuwa Tanzania ina mlima Kilimanjaro.Cha kushangaza kuna wamarekani nilibashana nao saana kuhusu kuwa eti huu mlima uko kenya,mie nikiwaambia uko Tz.Imagine! Na si mtu mmoja, hata kuna baadhi ya wajapan pia ilikuwa the same thing. Naungana na ANON. wa March 07, 2009 2:59 PM, Kwakweli Tanzania, tumelala mnooo na hili linatokana na wizara husika kutofanya kazi yake huku wakiendelea kupata mishahara na marupurupu manene kila mwezi. Mabadiliko makubwa na ya makususdi yanahitajika haraka la sivyo wenzetu wataendelea kula kupitia mgongo wetu,Tanzania. Tusubiri matokeo ya ziara za JK mawizarani tuone kwenye hii wizara kitaamuliwa nini.

    Mdauz jp

    ReplyDelete
  8. Tanzania watu hawajui wala kujali hivyo vistaa vyenu vya UK.Bongo watu wanataka watu kutoka US ati.Hao hata mimi mwenyewe siwajui..wanaimba aina gani ya muziki?

    ReplyDelete
  9. KILIMANJARO KITU GANI BANA !! TULIWAZURUMU TU JAMAA HEBU ANGALIENI VIZURI RAMANI PAMELAZIMISHWA PALE.NA NYIE MNAOWALAUMU WANA MEDIA WAPENI NAULI ZA KUZUNGUUKA KILA KONA WAPATE HABARI ZOTE.KAMA HUYU MISUPU YEYE ANAZURURA DWN TWN TU NA KWENYE VIKAO VYA CCM

    ReplyDelete
  10. Sasa ujinga uko wapi hapo kwa Wa Tanzania hao kuwa Mlima KIlimanjaro? tunajuwa kama ni Ma Star kama wapo mlima kilimanjaro ndio wapo mlimak ilimanjaro kama binadamu yoyote yule anayeenda kupanda mlima wanalipa basi. binadamu wote sawa bwana. hakuna kinachoshangaiza hapo. Kanumba akienda Ulaya wanajali kule? tuwape nguvu watu wetu, wale wameenda kwa Zaka zao wanazotaka kutowa. mungu awasaidie wao na sie basi. From Hakuna Cha Ajabu kabisaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  11. KWAKWELI MAMBO MENGI BONGO NI UTATA MTUPU! INAWEZEKANA WIZARA HAIJUI SANA JUU YA UJUMBE HUO MZITO ULIOFIKA KENYA NA TZ KWA LENGO LA KUPANDA MLIMA! MIMI NILISIKIA KWENYE REDIO HUKU ULAYA KUWA MA-STAR WANAELEKEA KENYA (KIDOGO MMOJA AACHWE NA NDEGE LONDON KWA KUCHELEWA!)ILI KUPANDA MLIMA WA KILIMANJARO NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI.

    SASA TRIP YA KUPANDA MLIMA NI BONGO LAKINI ORGANISATION NA MATANGAZO NI KWA WATANI WA JADI.TUNARUDI KULEKULEEEEE...(njoo kenya upande mlima wa kili!!!)LAKINI KITAELEWEKA TU, MUHIMU TAASISI HUSIKA ZIAMKE,SISI WABONGO SIYO MAZUMBUKUKU....;
    TUTAWAVAMIA MZIKIMBIE OFISI ZENU MAANA MNAZIDI KULALA....-MDAU-(EU)

    ReplyDelete
  12. Jamani kuna wajanja wanatumia hata majina ya vivutio vyetu vya utalii katika kutangza biashara zao huku nje, na sina uhakika kama hata kama serikali yetu inalijua hilo. Juzi nilikwenda Walmart kutafuta kiti cha kumlishia mtoto, nikakuta watengenezaji(Evenflo) wanatumia "SERENGETI" kama jina la biashara la mojawapo ya viti vyao, nikachoka!!!!. Siyo hilo tu lakini pia nimeona RV moja inatangazwa kwa jina la "ZANZIBAR". Mtu anaweza kuto hoja kuwa wanaitangaza nchi yetu, lakini kwa faida ya nani?!. Je, nchi yetu inafaidika nini kwa mbuga yake ya wanyama kutumika kama nembo ya biashara huku ughaibuni. Michuzi tafadhaki naomba uwafikishie wahusika wajue kinachoendelea, inasikitisha sana.

    ReplyDelete
  13. KWA TAARIFA YENU MASTAA WAMEFIKA KILELENI, NI LEO TU SHOW YA RED NOSE BBC WAMESEMA WOTE WAMEFIKA KILELENI NA WAME-RAISE £1,500,000.00 ZA KUSAIDI VULNERABLE PEOPLE HAPA UK NA HUKO AFRIKA, SHOW YA FINAL NI IJUMAA IJAYO 13/03/2009 WATAONYESHA VIDEO ZA MASTAA JUU YA MLIMA.

    ReplyDelete
  14. Wacheni ujinga Tanzania wanajuwa kama watu flani wapo kama wengine tu wanaoenda kutalii. nimesoma Gazeti La Mirror hakuna walikoandika Kenya wameandika wapo Mt Kilimanjaro,Tanzania. Kwahiyo sie Watanzania tuchukulie kila mtu kama Binadamu yoyote basi msituumize kichwa awe Kiji Star wa USA au UK hatujali sie tunao wetu sikuhizi kina NGassa wapo wa Bongo Flava Mwana FA walimtoa kwenye Local Newspaper Birmingham kama anasoma UK? Wao kwani nani? na Sie nani?.

    ReplyDelete
  15. Kweli bwana mmeongea ukweli wao nani na sie nani watu wakujisifu wamepanda milima yetu wakija ma Star wa Africa West africa East africa au South of africa au North hao wa USA na UK wasitubabaishe tena. wanaweka pesa kama wengine tu.

    ReplyDelete
  16. NI KAWAIDA TU,CHA AJABU????

    wafa kama sie tu,wanya kama sie tu nk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...