Ndugu wadau,

Jumatatu tarehe 23 Februari 2009, ujembe mfupi wa simu za mkononi ulitumwa na kuzungushwa kwa watu, ukisema kwamba, taasisi ya British Council ina nafasi za kazi.
British Council inatoa taarifa kwamba ujembe huu ni wa uongo na wakupotosha. British Council haijatangaza nafasi za kazi kupitia vyombo vyovyote vya habari au mitandao ya simu.
Taasisi ya British Council hutangaza kazi kupitia makampuni maalum ya uajiri.
Upotoshaji huu unasababisha athari kubwa kwa watu wengi na wengine hata kutoka mikoani.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea kwa wale wote walio pokea ujumbe huu potofu.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:
Zena Maajar,

Ofisa Uhusiano


simu namba

+255 (0) 22 2165300

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi hebu leta habari nasikia Rehema Mwakangale mtangazaji wa ITV amefariki ni kweli? Maana hata jana hukutupa breaking news za Ris mmoja wa africa aliyeuawa ukauchuna tu mzee mzima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...