sehemu ya pili ya intavyuu na kocha wa taifa stars marcio maximo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2009

    He got points. Wasemaovyo endeleeni zamu yenu sasa kusema.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2009

    THIS COACH IS AN EXCELLENT HUMAN PERSON, ESPECIALLY THAT HE KNOWS HOW TO NOT OFFEND THE PUBLIC AS HE SPEAKS. I CAN TRUST THAT SOME OF TANZANIAN SOCCER "EXPERTS" PRETEND TO KNOW TOO MUCH. AND THAT IS TRUE FOR MANY OF US TANZANIANS.

    MNATAKA KUMWENDESHA MNAVYOTAKA. KUMBE NAYE MTOTO WA TOWN. MNADHANI BRAZIL NI KIJIJINI? MTOTO WA KIJIWE CHA MIJI MIKUBWA HUYO. MIJI YAO MIKUBWA KAMA MARA 5 YA DSM KWA IDADI YA WATU. UZOEFU ANATKA NAO KWENYE VILABU VIKUBWA NA KWA WATU WENYE MWONO WA MBALI. MPENI MUDA NDUGU ZANGU.....

    ReplyDelete
  3. Yes! maximo !stick to your guns!they got nothing valuables!They just wish you failures!i am happy you are aware of their hypocrisy degree!Their main job is bitch bitch around.
    michuzi uko juu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2009

    LOOSER MAXIMO HANA JIPYA.MARA OOH NATAKA WACHEZAJI WATOTO, HAONI ARSENAL WANA WATOTO NINI WANAPATA?
    HUYU JAMAA NADHANI ALIKUWA MCHEZA SAMBA-DISCO LA WABRAZIL HUKO KWAO.
    MDAU KISIJU.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 14, 2009

    kisiju inaonekana kaseja ni shemeji yako kwani ulivyomkalia kooni maximo hadi namuonea huruma, unajenga hoja kila kona hii ya Arsenal imenikuna kweli ngoma ya watoto haikeshi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2009

    SAWA MAXIMO JENGA TIMU MZEE MAMBO TUNAYAONA UWANJANI, WALA USISIKIE LA MTU WE JENGA TU TIMU KILA KUKICHA. MDAU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...