Home
Unlabelled
uzi wa ugenini wa darajani msimu ujao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Utauona vizuri jumamosi tarehe 30 may pale wembley. Uzi huu wa sasa tulikosea sana kuuchana kule Urusi hatukuomba dua vizuri ndio maana JT akatereza akiashiria msimu wa kuteleza na kuonewa na marefa,mfano mechi na Arsenal pale darajani,Livepool kadi ya Lampard,Goli la Kalou na Blackburn, penalti ile na Hull city, Anelka na Everton game ya kwanza,sasa ukipiga mahesabu harakaharaka utaona kama points 10 hv zimebaki kwa marefa( 10+77 utapata jibu tungekua wapi,achilia mbali juhudi binafsi za Mr.Ovrebo.Lakini wa sasa tunabahati nao, kwani japo Hiddink anaondoka Carlo Anceloti ameshasaini miaka mitatu soma hapo mstari wa mwisho chini kwenye title ya Playing career.,
ReplyDeletemdu wa The infinity color
Michuzi nawe mambo yako bwana ,sasa siku wakicheza na Everton pale Godson Park Everton atavaa jezi gani? Au wakienda kucheza na Man City itakuaje? Wadau wa Blue wanasema hiyo ni home kit kaka
ReplyDeletembona huu uzi wa chelsea ni kama vile bullet proof???!!!. mtakuwa mkicheza soka huku pia mkijilinda na risasi??? umetuna sana wala hauvutii kabisa
ReplyDeleteHapo kweli bwawa lishalowa kwa uzi tu. adidas kiboko.
ReplyDeleteUzi unatisha. Very good design. Shetani wekundu tu ndio wanavaa mitumba kila siku!!!
ReplyDeleteSasa wazee wa darajani, mambo ya risasi na soka wapi na wapi??
ReplyDeleteDuuh chelsea noma uzi una buleti pruf
ReplyDeleteMdau
kisiju pwani
Mdau 2:54, kwenye lugha yetu adhimu ukishaweka ...NGE.. ujue ngoma ishachanika. terry asiNGE..., Ovrabo asiNGE..., Kalou aNGE..., Siye na Scolari tuNGE... aaahhhh. SORRY, TRY AGAIN NXT TYM.
ReplyDeleteGordon Chiggs,
ANFIELD or DIE
this is chelsea's home kit. why do u say its away's?
ReplyDeletehuo uzi umetulia, wa mashambulizi ya kivita vile! wavaa mitumba watakoma.heshima inarejea msimu ujao darajani.
ReplyDeleteduh! mbona hivi jamani?! Au mwaka huu mmepata dizaina wa formula one?adidas kwa hili wamechemsha sana
ReplyDeleteJapokuwa mimi ni mshabiki wa Man U lakn hakuna timu niliyokuwa naiogopa kama Chelsiki na ninawashukuru referees kwa kutusaidi kuitosa hii timu kwenye UCL ...jersey zao zimetulia sana ..nimezipenda
ReplyDeleteBig UP chelsea fans msikate tamaa ..
TABU SAANI
Wabongo kweli rahisi kudanganyika.Hizi nyuzi zinazotolewa na vilabu(man U,Kop,Chelsea,Gunners) sasa si Official.Wenzetu wanafanya hivyo kupiga chenga wale wanaopenda ku-copy na kujinufaisha wenyewe.Subirini Summer iingie ndo mtaona nyuzi halisi.
ReplyDeletehiyo rangi ya bluu haiwezi kuwa ya ugenini.unless kama watabadili rangi ya jezi ya nyumbani.
ReplyDeletejezi ya Liverpool ya nyumbani ilikuwa itolewe kwa style hiyo hiyo isipokuwa rangi.yani nilipoona ile style few weeks ago nikaomba yani iwe ni uzushi tu lkn kama itakuwa kweli yani nomaa.style iko hovyo.
ReplyDelete