Dear All
WHAT: NBA DARFT PICK 2009
WHO: HASHEEM THABIT
WHEN: JUNE 25th 2009 7pm - 12 am ET
(TANZANIA TIME JUNE
25TH @ 2am - JUNE 26th@ 7am)
WHERE: MADISON SQUARE GARDEN NEW YORK
ROUNDS: TWO ROUNDS
On behalf of all basketballers i wish him all the best of luck in this historical event
Lawrence Cheyo
Secretary Geneneral
Tanzania Basketball Federation

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 23, 2009

    Its oookey
    mdau Mbije,A=Kafanabo

    ReplyDelete
  2. Mkuu "Draft" inaanza Tarehe 25, saa 1 usiku, majira ya New York. Hivyo basi kwa saa za Bongo itakuwa ni June 26th 2am na sio June 25 2am kama ilivyoandikwa.

    Kila la kheri Thabit

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 23, 2009

    Go Hasheem, go make us proud as you always do. You've got our prayers homeboy!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 23, 2009

    That's great news! wish you all the best Hasheem!
    Michuzi I sent you an e-mail about Student Communities for Sustainable Develepment in Tanzanian higher learning institutions, not sure if you have read it. I will really appreciate if you will publish that advert coz my aim is to connect them with potential partners here in Sweden and US.
    Mdau,
    Gothenburg, Sweden.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 23, 2009

    Pamoja Cheyo
    john Ngowi(UK)

    ReplyDelete
  6. PhatlorenzoJune 23, 2009

    Hii mbona si breaking Nuz? Aliyeandika hii habari ameiweka as if NBA wameamua ku set tarehe mpya ya Draft wakati tarehe ilikuwa imepangwa long time ago. ESPN Radio wanamuaongelea Thabeet sasa hivi. He's got good ratings. Mock Drafts (draftexpress.com)wana project Hasheem kuwa 3rd pick overall kwenda Oklahoma Thunder na InsideHoops.com wana project atakuwa picked number 2 kwenda Memphis.
    All the best to you Hasheem!

    Phatlorenzo-MN

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2009

    at last somebody we can look for inspiration and one we can admire..........for a long time there has been no tanzanian out there who is successful either as an enterprenuer or sportsman,by successful i dont mean having a nice car and house,i mean realy successful

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 23, 2009

    tunamtakia mafanikio Mwenyezi Mungu, amfungulie njia zote za mafanikio.
    FFU

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 23, 2009

    kwa taarifa za kina kutoka kwa ka-nzi kanakorukaruka hapa US ni kwamba UTAH JAZZ ndo wanalamba hiki kifaa cha Tanzania ambacho vi-nzi vingine vinadai ana asiri ya kitusi kutoka Rwanda!!!! safari hii si wakenya wanaotaka kujitangazia kuwa hasheem ni wao bali wanyarwanda!!!!
    kwaherini!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 23, 2009

    haya basi generali seketari twambie watualika nini? na sisi tulio bongo tutafikaje? na hata tukifika tunakuja hudhuria nini?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 23, 2009

    TBF msichekelee tu Thabeet kupata nafasi NBA. Kumbukeni kwamba kufika kwake alipofika ni matunda ya mchanganyiko wa bahati na juhudi zake binafsi.
    Hii iwe changamoto kwenu. Fanyeni kazi ya kuhamasisha na kulea vipaji nchi itoe kina Hasheem wengi tu wakacheze NBA na timu yetu iwakilishe Afrika kwenye olimpiki.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 23, 2009

    Michuzi mbona yule mbongo mwingine kwenye draft ya NBA hammuonyeshi...KOLIKOLI, mdogo wa Jakote na maghavila

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 23, 2009

    Waafrika msiwe wapumbavu, Hasheem amezaliwa Tanzania na ni mtanzania. Na hata kama ni kweli kwamba ana asili ya ki-nyarwanda sasa ndo iwe nini? Waafrika wamekuwa wakihamahama tangu enzi za kale kabla ya kucholewa mipaka hewa na wazungu, na waafrika wengi tuu ukirudi nyuma vizazi kadhaa utajikuta ulikuwa nchi nyingine. Tuondoleeni "cheap" politics hapa, we are all proud of our great man Hasheem Thabeet, na hata wakenya na wanyarwanda pia wanayo haki ya kuwa "proud" of this man. Kwa sisi wengine tuliwahi kubahatika kucheza mchezo huu wa kikapu katika ngazi za Umiseta, tulikuwa tunajivunia sana Dikembe Mutombo, ingawa hakuwa mtanzania. Kwa hiyo
    Hasheem belongs to all of us as an African people as much as we belong to him too.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 24, 2009

    kila la kheri hasheem.....

    TBF, hii ni changamoto kwenu. sio mnatangaza tu hapa kwamba oooh hasheem draft keshokutwa! it is a chance for you to build a basketball institution in tanzania now. mnatakiwa mchangamke. mvuto ambao nchi yetu inao kwa sasa, ukijumuisha na hasheem kuwemo NBA, na mastaa wote atakao-interact nao inamaanisha kwamba kuna bonge la potential la kufanya kitu cha hatari kuhusu basketball hapa bongo! changamkeni TBF kama hamuwezi ng'okeni akae kikwete mwenyewe! ohooo tutaonana wabaya!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 24, 2009

    Much respect to HT,home boy from Tanzania,walisema hatuwezi wao waweze wana nini, yeye ni mnyarwanda lakini kazaliwa na kukulia tz,haya ndo yale mara obama mkenya mara indonesia mara sijui nini,acheni blah blah,huyo ni mwafrika mtanzania asilia ametoka tu kuwa na genes tofauti na kuwa na zaidi ya ft saba ambayo siyo kawaida

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 24, 2009

    Hiki ni kitu cha kujivunia sana kwa watanzania. Lakini cha kushangaza ni dalili za kutokuwa na mawasiliano katika vyombo vyetu vya michezo. Kama kuna Mtanzania mwingine naye yuko kwenye draft, imekuwaje katibu mkuu alisahau kumtaja kwenye hii ripoti yake, nafikiri ingekuwa na uzito zaidi kama angesema kuwa tunao watanzania wawili kwenye draft.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 24, 2009

    MNYARWANDA TENA?????????????????

    ebu mtuhabarishe vizuri historia ya maisha yake uko nyuma

    khaaaaa,tusije pigwa maswali kumbe hatuelewi history

    tupeni newzzz zake zaidi

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 24, 2009

    Good boy.Nakuombea kila la kheri, lakini pia nakuomba ujiepushe na masoo, maana macho ya mapaparazi yako kwa viongozi na mastar, kwa hiyo kila unavyo jitahidi kutrein, na ndivyo mapaparazi wanavyojitahidi kukufatilia na kukutafuta undani undani wako,na kuanza kuandika magazetini.be care full boy. madame Jey

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 24, 2009

    Eh! waosha vinywa msituharibie harufu hapa! what's that? unyarwanda ? unatoka wapi tena katika ukumbi huu? kila siku wabongo aturidhiki! Miss.Tanzania akaitwa sio Mtanzania bali Bint wa Kihindi,akiwa mweusi mwenzetu akifanikiwa basi sio tena mwenzetu lazima atapachikwa UNYARWANDA hizi tabia zenu zinaboa sana sana

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 25, 2009

    Nitakuwepo ndani ya Madison S. Garden hapa New York au Mtaa wa 8: Basi wapendwa nibeep mkizinduka kwenye usingizi niwapatie mwenendo kamili wa shughuli
    Wenu, a.k.a. Visiga

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 25, 2009

    HAHAHAAH I HOPE HASHIM READS THIS BLOG,HOPE HE SEE'S WE OL BEHIND PRAYING FOR HIM...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...