Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Al MusomaJune 12, 2009

    Ushauri wa bure. Moja kama muumini kumbuka umeambiwa kuwa pombe ni "mama wa maasi". Ni madhara yake katika bajeti na mfumo wako wa maisha kwa ujumla ndivyo vilivyofanya pombe ijumuishwe na kamari katika kuharamishwa ndan ya Qoran takatifu. Pili, kama si muumini wa dini ya Kiislamu au hata kama ni muumini msikilize marehemu Mbaraka Mwinshehe alivyosema kuhusu pombe.
    http://www.youtube.com/watch?v=S4KMPc-gzHY

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 12, 2009

    Kwani umelazimishwa? Unasikitika nini wakari umejitakia mwenyewe. Kwani njia ya kurudi nyumbani au kwenda benki hauijui?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 12, 2009

    SI USIENDE KAMA UNAONA HELA ZAKO NDOGO KWANININ UNAENDA KUSALITI ENA,RUDI NYUMBANI BWANA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 13, 2009

    kama unasaliti mshahara wako leta tukapande mbegu DECI.

    Nafasi za kazi ziko.
    kennedytz.blogspot.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...