Juu na chini ni kina mama wa Kibongo wakishiriki katika libeneke la matembezi ya Susan G. Komen Breast Cancer Foundation jijini Washington DC katika harakati za kupambana na saratani ya matiti inayosumbu kinmama ulimwenguni kote. Watu wa matifa mbalimbali walishiriki katika matembezi hayo yalofanyika Jumamosi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2009

    jamani jaman

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 07, 2009

    wakina baba hawasapoti au walikuwa wakicheza na wana?

    ReplyDelete
  3. Al MusomaJune 08, 2009

    Sakatani? Sarakani, I believe...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2009

    WEWE UNAYEJIITA "AL MUSOMA" MBONA UNATUNGA VYA KWAKO. WAO WANASEMA SARATANI, WEWE UNAKUJA NA "SAKATANI", MARA "SARAKANI"!!!!! TUMEZIDI MNO KUKOSOA WENGINE SIE WABONGO JAMANI, KHA!

    ReplyDelete
  5. Hey Anon 8:36 AM hata mimi nadhani inaitwa SARAKANI;Labda mimi na Al musoma tunakosea.Natambua kuwa hakuna mtu aliye mkamilifu.Naomba wengine wanaojua kiswahili fasaha watueleze.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2009

    asanteni

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2009

    uyo mama mwenye miwani apo nyuma ni mbongo kweli i think she is from sudan

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 08, 2009

    kwi kwi kwi kuna watu mnadharau sana umu bloguni,,nani kakwambia ni msudani???dah mbavu zangu

    ndo mana yake annon,kina baba mamtoni mawili,either wako home wananbeba watoto au wanapiga box mtaani

    ni ayo tu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 08, 2009

    DC NAKO KUMEZIDI WABONGO DUUU!!,KAMA MAGOMENI??LAZIMA KUTAKUWA NA MAMBO YA MIPASHO TU MANAKE WABONGO NAWAJUA WAKIKAA WENGI MITAA FLANI,NI HAYO TU!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 10, 2009

    Ni kweli DC wabongo tuko wengi...lakini hamna mambo ya kiswahili swahili...kila mtu na mambo yake.

    Nani mwenye time!!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 10, 2009

    NI KWELI WABONGO TUKO WENGI DC... LAKINI WALAAAAA.... HAMNA MAMBO YA KISWAHILI SWAHILI... KILA MTU NA MAMBO YAKE... NANI MWENYE TIME!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...