Mkuu wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kushoto) akisalimiana na watoto wa kituo cha kulea watoto cha SoS Children's Village, walipotembelea katika kituo hicho jijini Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2009

    huyu demu mwamvita ana ufigure flani bomba kinoma hasa kuanzia magotini kupanda juu pamwtulia kishenzi, sema sasa tatizo ni kuanzia magotini kushuka chini miguu imekuwa myembamba sana utadha fimbo ya kupopolea embe dodo! ila kwakweli juu katulia sana hasa pajazzzzzz halafu na rangi yake!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 04, 2009

    michuzi hii wedi velifikesheni yako yaani inanifanya nijione kuwa naweka komenti yangu kwa mashariti. mwana inaboa sema basi tu tufanyeje na mambo ya spams haya dah!
    ona sasa hata hapa naandika kuelezea kuboreka kwangu na penyewe pia natakiwa kuandika wedi verifikesheni aaaaagh!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 04, 2009

    huyu anawezekana akawa na akili sio kama baba yake . Maana baba yake anavyoongea hamna connection ya ubongo na mdono.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 04, 2009

    We wa saa 2:10 huoni hiyo miguu imekaa kichama chama, haina mvuto wala rutuba

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 04, 2009

    Wabongo wanapenda ngono kweli sasa wewe Anony June 04, 2009 1:08 PM, Badala ya kuchangia mada unaanza kutamani pajazzzz na shepu.. Wapi na wapi weweeee. Rudisha akili katika mada

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 04, 2009

    wee jamaa inaonekana haumjui huyu demu wala siyo mzuri kabisa, uso ni kama wa trekta aina ya ferguson.kila kitu hapo kimekaa kichamachama kama baba yake

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 04, 2009

    sasa Michu unaachia wanamponda demu wa watu hivi, mi nilidhani unachuja. Nyie mnaomchambua maumbile, kwani amesema anafanya 'beuty contest'? noma hivyo.. hajaomba kuumbwa hivyo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 04, 2009

    ACHENI WIIIIIIIIIIIIIIIIIVU!

    ReplyDelete
  9. Mnataka awe na miguu kama tembo wakati mwili wake ni mwembamba? Muwe mnafikiria kidogo kabla ya kuandika haya maoni yenu ebo!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 04, 2009

    Hiyo picha imeelezwa vizuri,"mkuu wa Vodacom Foundation akisalimia na watoto wa kituo cha kulea watoto...... Sasa hayo ya kuongelea kuhusu miguu,uzuri,sura,umbo,nk ya huyu mdada wa watu ambae ndo mkuu wa Vodacom Foundation inahusiana nini na yeye kusalimiana na hao watoto.basi nyie mleteni dada yenu mzazi alie mzuri ili awe mkuu wa hiyo Vodacom Foundation.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 04, 2009

    People!, it's a good idea to put yourselves in her shoes kabla hamjasema anything negative. What if it was you na mtu anakongelea hivo??
    Mwanvita is one pretty, strong, smart and focused woman on the planet. Very smart girl!

    Mwanvita achana nao, keep it up girl!, you look very pretty in that dress, the colour fits well.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 04, 2009

    Sitoagi comment ila...she is cute kwakweli acheni wivu.....!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 04, 2009

    jamani huyu dada ni smart hata mseme nini angefaa kuwa first lady mnaweza kusema ni wasichana wangapi wanakazi nzuri bongo lakini dress code imewashinda yani huyo kama haishi bongo hivi mavazi yake babu kubwa, miguu niyakutembelea,na sura haisaidii chochote, money talk. hao wenye sura nzuri na miguu mizuri wakowapi, hiyo ndio english figure, jennifer lopez figure. wachafua hali ya hewa mkome.

    ReplyDelete
  14. Mdau wa NCJune 05, 2009

    NYIE WA TZ WENYE NARROW MINDS,
    SHIKENI ADABU ZENU NA ADABU ZIWASHIKE!
    LETENI BASI NA DADA ZENU, SHANGAZI ZENU TUWAONE ALAFU WADAU WACHAGUE YUPI MZURI!!
    VICHWA VYENU!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 05, 2009

    Mwamavita, mimi naupenda mwanya, walau niupige BUSU tu, mwaaaaaa

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 05, 2009

    mkuu wa nanihii ya nanii umeniacha hoi kwa kuelezea mwamvita ni huyo wakusho kwani kuna mwingine hapo kwenye picha mwenye kuweza kuwa na wadhifa wa mwamvita?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 05, 2009

    MAMBO MAZURI YA VODACOM YANAPIGWA VITA NA JAMII FORUM YA MWANAKIJIJI.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 05, 2009

    HUU NDO UZURI WA KUPENDA KUPIGA PICHA. MAMVITA MWAKA HUU NADHANI UTASTAAFU UINGIA KWENYE GLOBU YA JAMII. KWELI ULILALA

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 05, 2009

    VODACOM MCHUKULIENI HATUA YULE MWANAKIJIJI AKATHIBITISHE MAHAKAMANI KAULI YAKE.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 05, 2009

    Kwa kweli inasikitisha kuona watu, hawaonyeshi kukua kwao kiakili kama hao wanaomkosoa mama wa watu maumbile yake. Ishu iko pale, watoto yatima, kila siku wanaongezeka TZ, tufanyeje ili hili tatizo lipungue? au tushirikianaje kuhakikisha hawa watoto maisha yao yatakuwa bora kielimu kiafya na kiuchumi. hakuna mtu anaongelea swala la msingi badala yake mnakosoa, oo miguu ooh sura, ni nani kati yenu kabla ya kuzaliwa alienda dukani ama hospitalini na kuchagua aumbweje? Nani alienda dukani na kufanikiwa kununua miguu, au sura anayoitaka? Sidhani kama dada wa watu amekwisha kuwalalamikieni, kwamba miguu yake haimfikishi anakotaka kwenda, ama sura yake imesababisha akakosa mambo ya muhimu katika maisha yake. Mama wa watu anafanya kazi na anashiriki kutunza familia yake, hayo ndo anayohitaji katika maisha yake!

    Grow up people! Kila mtu alipozaliwa ndivyo alivyoumbwa na huna mamlaka ya kumkosoa maana hata wewe hukununua huo mwili ulionao dukani ama hospitalini!

    Fikra potofu kama hizi ndo wakati mwingine zinachangia watu kuwa na roho za kinyama kama vile kuua maalibino wetu, mkidhani nyie ndo bora na mmebarikiwa kuliko wengine hivyo mna mamlaka juu yao.

    Mtasema oo hii ni blog ya jamii kila mtu ana uhuru wa kujiwekea kila analokurupukia bila ya kufikiri, lakini mi nadhani tunaweza kufanya mambo mazuri zaidi ya hayo bila kuingilia maisha ya watu na maumbile yao.
    Show some maturity!!!!

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 05, 2009

    eti miguu mwembamba sasa ye mwenyewe skinny/portable unataka awe na mguu kama wa vipi...waswahili bwana.hivi kuna watu bado wanaangalia miguu.as lon as inaendana na mwili yote shega....

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 05, 2009

    Huyu dada ni smart lakini anapenda kale kamchezo kakubiringishana kwa sana. ameolewa na mzungu lakini nje anapeleka kama anavyogawa misaada kwa maskini.
    Kaka yake mwenye misifa yupo? January.....

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 06, 2009

    jamani huyu dada anajua sana ku intertain. hana mambo ya kuomba omba, wewe fanya shuguli nzuri mara ya kwanza atakuwa mteja sana. yaani nilikula vizuri kweli yaani nililishwa wali sahani na nusu kwa taarifa yenu alafu sasa imetulia kisawawa..sasa uzuri mi i pia nilitoa huduma inavyohitajika, ndio maana nakula sahani moja na mzungu, kitu kimetulia babu.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 06, 2009

    Michuzi some comments in here are so inappropriate.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 06, 2009

    Balozi Michuzi. Huwa unachuja maoni mengi tu yangu yanayohusu Nyerere na CCM lakini nimenyamaza. Lakini siwezi kunyamaza unapoacha maoni ya watu wamtukane huyu binti na wewe hujazuia. Unakuwa hypocrite. Maoni haya ndio yanayotakiwa yachujwe. Au, sasa huna muda na maoniyanapita automatic? Hii ni kashfa na huyu dada mimi simfahamu lakini hamna mtu ana haki ya kumkashifu kama hivi. Je, nini haswa maana ya "KUCHAFUA HALI YA HEWA"?

    Mdau, Tokyo.Japan

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 07, 2009

    Kitu diet Veggie, slim fit, portability imekubali... Mbona mimi naona mtoto bomba? au mimi ndio nimekaa mtoni miaka mingi? Mimi naona leg-line imekubali na anaonekana nyama choma ni kwa nadra sio hiyo mitenka ambayo waswahili wanapenda. Hivi hiki chuma kimeolewa au?

    Mdau, Boston, US.

    ReplyDelete
  27. AnonymousJune 07, 2009

    Yuko vile kwa sababu huyu anapenda sana antilogarithm (antilog.)

    ReplyDelete
  28. AnonymousJune 08, 2009

    Antilog ninayojua mimi ni ya kwenye hesabu hii sasa ni ipi jamani? Halafu wanaosema dada mwachiaji wapumbavu!! wewe kama kweli umepewa kaa kimya.. Unajitangaza ili iweje? Mimi ningepewa ningekaa kimyaaaa!! aah ngoja nije bongo nimtafute!! he he he!!

    Mdau, Boston, US

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...