Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akisalimiana na mshairi Mrisho Mpoto wakati wa uzinduzi wa tamasha la 12 la ZIFF ukumbi wa Ngome Kongwe, Zenj
Mshairi Mrisho Mpoto aka Mjomba akiwapa dozi washabiki wa tamasha siku ya ufunguzi wa tamasha la 12 la ZIFF
Kundi la Borafya wakitumbuiza Ngoma ya Beni usiku wa Ufunguzi wa Tamasha la ZIFF.
Kundi la DCMA wakitumbuiza kwenye ukumbi wa Mambo Club ikiwa ni mojawapo ya shamrashamra za tamasha la 12 la ZIFF
Swahili Vibes kikundi kutoka DCMA wakitoa miondoko ya kibao kata kwenye Ukumbi wa Mambo Club
Mashabiki wakionyesha kali zao wakati wa tamasha la 12 la ZIFF
Watalii wakiangalia onyesho la picha lililoandaliwa na UNICEF, Beit el Ajaib, ikiwa ni moja ya shughuli za tamasha la 12 la ZIFF huko Zenji.
Picha zote zimepigwa na mdau Japhet Njagi kwa hisani ya ZIFF.









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2009

    napenda sana izi shughuli

    yan sema tu izi kazi zetu hatuna hata muda wa kutembelea maonyesho adhimu ya zenji

    hongeren sana zenji kwa kudumisha utamaduni wa mwafrika na kuandaa kazi izo,

    ntahamia zenji siku ninywe na juice ya MIWA kama mithupu siku ileeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. OMBI
    Mrisho Mpoto kama anaweza ajaribu kubadilisha hili vazi lake angalau awe na hata ya aina tatu tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2009

    Huyu mrisho mpoto ni mbongo au Mnigeria?hizi zio za kibongo,uhamiaji mchunguzeni.
    Anyway,nimefurahi atleast na sisi Tz tuna seasons za festival,atleast inazidi kuongeza moments of entertainment katika hii world of stress.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...