Home
Unlabelled
mikonozzzz na wadau wa a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu,
ReplyDeleteUnatumia sina neno "libeneke" lakini sielewi maana yake na chimbuko la neno hilo.
Tafadhali nielimisheni.
Nawasilisha
Cute kids!!....sweet smiles.
ReplyDeleteLibeneke ni kama mpambano! Chimbuko lake ni tok akwenye lugha ya kingazija ambapo neno olibeneke linamaanisha mpambano.
ReplyDeleteLoh! kwakweli lugha ya kiswahili inaanza kupotea 'Libeneke!!!!. Hata mimi sikujua maana yake. Kumbe ni kinaniii!!!.Tafadhari msitupoteshe.
ReplyDeleteAsanteni sana wenzangu mlionielemisha kuhusu hili neno "libeneke" - kwamba ni mpambano...na kwamba linatokana na lugha ya kingazija? Na kwamba sasa lipo kwenye msamiati wa kiswahili? Lakini je mpambano wa kwenye vita? Mpambano wa watu wawili? Au mvutano kati ya makundi? Naomba anon hapo juu uendelee kunielimisha usichoke....Au hata Michu ukiweza jaribu kuingilia kati uelimishe watu kuhusu hili neno "libeneke" au liweke wazi mahala lijadiliwe kama "subject matter" pekee.
ReplyDeleteNawasilisha
Jamani hawa watoto wamekaa wapoleeeeeeeeee, hadi raha.
ReplyDelete