Mama Salma Kikwete (kushoto) akiongea jambo na Mke wa Rais wa Zambia Mama Thandiwe Rupi (kulia) wakati walipotembelea maporomoko ya Victoria yaliyopo katika mto Zambezi Nchini Zambia. Mama Kikwete ameambatana na JK katika ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2009

    Vacation!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2009

    kaenda kutoa pole ya msiba nini.....

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2009

    wanawasiliana kutumia lugha gani???

    asante

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2009

    hayo maporomoko ya victoria falls noma))
    ni lugha tu,au sio?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2009

    Unayesema maporomoko ya Victoria Falls lugha imekosewa, ni ushamba wako kaka, hii ndio lughanya hii blog, kwa mfano huwa tunasema barabara ya mandela Road, au uwanja wa taifa wa National stadium, au uwanja wa ndege wa Dar Aiport. Ni lugha ya hapa uwe unaakaa kimya kwanza kabla hujaandika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...