kocha wa Yanga Kostadic Papic 'Clinton'
kocha wa Simba Patrick Phiri
mshambuliaji wa simba mussa hassan mgosi akiwatoka mabeki wa yanga


kocha wa yanga akitoa somo wakati wa mapumziko

YANGA NA SIMBA WAMETOKA DROO YA 1-1 KATIKA DAKIKA 90 YA MCHEZO WAO WA NUSU FAINALI KOMBE LA TUSKER NESHNO JIJINI DAR, NA SASA ZIMEONGEZWA DAKIKA 30 KUPATA MSHINDI KWANI ZEGE HALITAKIWI KULALA LEO. IKISHINDIKANA DAKIKA HIZO 30 GEMU LITAAMULIWA KWA TUTAZZZZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. sasa ankal si ujaribu kutuletea as near live as possible basi. sisi tulioko huku nje hatulipati redioni ankal.

    ReplyDelete
  2. Inaisha 21 kwa Yanga hiyo nafikiria. Mangala.

    ReplyDelete
  3. michuzi asante sana kwa up date zako nasikia Yanga african wanaongoza je kweli kaka?

    ReplyDelete
  4. Misupu leo lazima mnyama atafunwe tu. Go Young Africans!!
    -Kaka Yenu

    ReplyDelete
  5. Niko Uwanjani tumewashika kila idara Yanga lazima ishinde Simba muneno mwingi tu they can't play. Not entertain' footie!
    Yanga wazuri na kuna potential ya kupata goal mingi
    final utaniambia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...