WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakibadilishana mawazo baada ya kuharishwa kwa kikoa cha asubuhi, kushoto Nassor Ahmed Mazrui Nafasi za kuteulia (CUF) katika Juma Duni Haji kuteiliwa (CUF) na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Mahmuod Thabit Kombo,(Jimbo la Mpendae CCM)
MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa kuteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume,nafasi ya kambi ya upizani Mh. Juma Duni Haji, (CUF) akila kiapo katika ukumbi wa baraza hilo leo.

MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa kuteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume nafasi ya kambi ya upizani Mh. Nassor Ahmed Mazrui, (CUF) akila kiopo katika ukumbi wa baraza hilo leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. tutunze kiswahili wajomba! kuteilia, kutielia ndio nini?

    ReplyDelete
  2. Wamependeza mashaallah,
    MUNGU LIBARIKI BARAZA LETU,
    MUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA KWA KIPINDI HIKI KIZITO CHA UCHAGUZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...