Meneja Biashara wa Kampuni ya uuzaji wa samani za majumbani na maofisini ya The Living Room, Meghan McCall, akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa ITV na Radio One, Joyce Mhavile baada ya kuibuka mshindi wa Promosheni ya Krismasi na kujinyakulia samani za nyumbani zenye thamani ya shilingi milioni 20.Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya The Living Room, Oysterbay Jijini Dar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Biblia haikudanganya iliposema kwamba 'alichonacho ataongezewa na ambaye hana hata kile kidogo alichokuwa nacho atanyanganywa'. Hongera Joyce. Utugawie nasi baadhi huku newsroom.

    ReplyDelete
  2. ama kweli mwenye nacho ataongezewa duh hongera dada

    ReplyDelete
  3. samani ndio nini tena?

    ReplyDelete
  4. ..kutoka kwa anoni wa kwanza.."aliye nacho ataongezewa na ambaye hana hata alichokua nacho atanyang'anya".. We tazama katika maisha yako hadi sasa ulishawahi kuona bahari ikapeleka maji mtoni? hata mvua inyeshe vipi mto utafuika kisha utatiririsha maji yake yooote kwenda baharini hadi kukauka kwake, so hongera Ms.Joyce Mhavile nadhani kaukali katapungua!

    ReplyDelete
  5. kama kuna mwanamke ambaye namfagilia tz basi joyce ni mmoja wapo..anajiamini..anaweza...na anasababisha..good job dada joyce mungu akuzidushie...

    ReplyDelete
  6. uko juu joyce mhaville hata wasemeje...

    ReplyDelete
  7. Watu tuko tofauti yaani mshahara wa mimi daktari ni Tshs. 5000,000 (laki tano) halafu mwingine anapata eti furniture za millioni 20. Mimi kwangu hizo nafikiria nikipata ni kujenga nyumba na sijui hata lini nitazipata!

    Huwa najifariji sana na kufanya kazi kwa bidii kama hakuna lolote linalonisumbua maana yote yatapita nikikumbuka kuwa huko mbinguni wote tutakuwa SAWA, ama una uzima wa milele au una mauti ya milele.

    Ngoja niwahi on call maana nimeitwa kuna wanachi wameletwa wamepata ajali.

    ReplyDelete
  8. Utata mtupu!!! mh

    ReplyDelete
  9. Dr ganiwewe? uwezi hata kuandika laki tano (500,000/=)

    ReplyDelete
  10. Anonymous gani wewe?
    Huwezi kuandika Dr. unaandika Dr tena huwezi kuandika gani wewe unaandika ganiwewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...