MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akiangalia meshine maalum ya kuangalia Vijidudu wa Maradhi katika Hospitali ya Kuu ya Mnazi Mmoja wakati wa uzinduzi wa Chumba cha Upasuaji wa Koo, Pua na Sikio Hospitalini hapo
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Upasuaji Dk. Nofal Kassim wakati wa ufunguzi wa chumba kipya cha Upasuaji wa Koo, Sikio na Pua katika hospitali ya Taifa ya Mnazi Mmoja.
Picha na mdau Othman Maulid Mapara wa Zenji



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu mama huwa nampenda sana jamani. Sasa sijui ana kabinti bado hakajaolewa. Wadau hebu nitonyeni?

    ABDI MUSHI - DUBAI

    ReplyDelete
  2. Sina uhakika zaidi ila kwa ninavyosikia juu juu ni kwamba watoto wake wameolewa labda wa dada au kaka zke km yule mh waziri wa nishati wa zenji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...