MAKAMUZI YANAENDELEA........

FRI 05 FEB LONDON
SAT 6TH FEB BIRMINGHAM
SAT 13TH FEB MILTONKEYNES
SAT 20TH FEB MANCHESTER

Come check me out on MySpace at
http://www.myspace.com/bongouk
Ali K in action
Gals love Ali K...
usinisemee kama napenda kula...
hakuna kulala





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. MAN UUUUUU WEWEEEEEEEEEEEEE!!!! bila ronaldo inawezekana sana tuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  2. alikiba hii ni hari mya, nguvu mpya na kasi mpya, mdau fanya intervieww ya kiingereza nikusikie ukitema ungengege

    ReplyDelete
  3. heeee kumbe mtu "kibao"dah jamaa totoz za kizungu kibao aya kijana kaza buti

    wee annon#2 acha utumwa wa lugha za wakoloni,,,kimatumbi poa tu

    ReplyDelete
  4. TUNAOMBA MPIGA PICHA UWE UNA ZOOM OUT TUONE UKUMBI MZIMA , ULIVYOJAA NK. ISIJE IKAWA ANATUMBUIZA WATU KUMI, THEN MNATUSADIKISHA YASIYOKUWEPO!!!!

    ReplyDelete
  5. nani anajua nyimbo ya pili inaitwaje..???

    ReplyDelete
  6. Kwa kweli wacha niseme leo!!!! hawa wabeba mobox hamnazo kabisa, tena wana akili za kitumwa sijui ni kwasababu ya kulala kwenye matundu ya nduge wenyewe manaita apatimenti, kila kitu cha nyumbani lazima kwanza mkiseme vibaya, hivi niwaulize nchi ijengwe na nani?? kama nyie ndo mahili na ma manju kwa nini basi msirudi mje kujenga nchi yenu?? kila kitu mwafananisha na ulaya au marekani, ukiongea kimombo kero tu utakosolewa weeee!!!! mpaka!!! usipongeo oooo hajui kimombo nani alie waronga enyi kizazi cha nyoka kuwadanganya kwamba kujua kimombo ndo kuendelea??, juzi mkaanza kujadili bei za viwanja kwa kimombooooooooo, wakati wauzaji wa viwanja hata intgernet hawaijui mzaramo anuza shamba la urithi bei juu, mangi anauza bei juuuu juu zaidi ndo mambo ya biashara hayo, nyie kila kitu kibaya wenzenu wanajenga nyie mmekalia kula ma baga tu barabarani na masweta masafu yasiofuliwa miezi na miezi, siku mkirudi mtafikia wapi?? jengeni kwenu achani hizo au ndo ngawira chee?????


    Mzee wa nanihiiiii

    ReplyDelete
  7. haya wenye chuki alikiba kawa mbebabox?

    ReplyDelete
  8. Nimekupenda bure anony wa 12:15 PM umesema ukweli. Hakuna kitu kinachonikera kama hicho japo na mm ndipo kwa wabeba mabox lkn mambo ya nyumbani yafaa yajadiliwe kwa kiswahili kwa faida yetu. China, Russia, Ufaransa wanachukia kiingerza ile mbaya lkn maendeleo yao yakoje????? Kila siku ongea tukusikie ongea tukusikie.... nani kasema kuongea kiingereza ni kuelimika???? Kinawaafa ninyi ambao mnakihitaji ili muweze kubeba mabox yetu.... Mmatumbi wa Manerumango,,, Chole ama Rufiji,,,Ngopyole Tukuyu ama Ndugupi.. kinamsaidia nini?????? Jadili vitu kwa kiswahili ili iwe faida kwa wananchi wote,, wanaongea hicho kiingereza chenu na wasiona uwezo wa kuongea. NAwakilisah

    ReplyDelete
  9. Kaza buti ila usisahau kwamba hata huko Ulaya gonjwa la UKIMWI lipo, kwa hivo mdogo wangu tahadhari wasikuchanganye hao mabintiiii!

    ReplyDelete
  10. Hivi hapo hakuna mabaunsa? Hao madada wanapanda tu kwenye steji kama vile daladala. Mtu anataka kuimba mara huyu amemshika kiuno...

    ReplyDelete
  11. Kuhusu lugha wale waliosema kuwa ni vizuri kutumia kiswahili nawaunga mkono kabisa.Watanzania ambao mpo nje ya nchi tafadhalini jalini lugha yenu.Mimi nipo katika nchi mmoja Scandinavia na kwakweli wenzetu wanathamini sana sana lugha yao.Asilimia kubwa wanazungumza kiingereza lakini hawafanyi hivyo(labda ktk mazingira fulani.Watanzania tunaona kuzungumza kiingereza ndiyo fahari kwetu si kweli.Tunatakiwa tukifahamu na kukitumia pale itakapobidi ila siyo katika mawasiliano baina yetu.Kukaa huku kumenifanya nikipende zaidi kiswahili.

    ReplyDelete
  12. Jamani mbona mnataka kupotosha maaana ya ujumbe wa huyo aliyeandika kuwa anataka aongee kiingereza? Hata Mwalimu Nyerere aliyefanya kiswahili kiwe lugha ya taifa alikuwa akija huku nje kukutana na IMF na World Bank au umoja wa mataifa alikuwa anaongea kiingereza! Sisi tumetawaliwa na Waingereza, Kiswahili ni NATIONAL LANGUAGE AND ENGLISH IS AN OFFICIAL LANGUAGE! Acheni kufananisha wafaransa wao hawana lugha ya taifa wala nini. Issue hapa si wabeba box na kwa taarifa yenu wabongo wengi walio nje either wana viwanja au wana nyumba sasa sijui mnawazungumzia watu gani. Na si kila mtu anayekaa nje ni mbeba box, wabeba box wapo kila mahali na hata wazalendo wa nchi zao huku tunawaona wanabeba mabox. Bongo hakuna makuli????? Sasa cha ajabu ni nini? Issue hapa ni watu wanataka kumsaidia huyu kaka ajitangaze huku nje, apate interview na BET kwa kiingereza huwezi juwa anaweza pata mapromoter wenye pesa wakamuinua siyo bongo watu wanatengeneza copy za miziki hata kabla hazijatoka ndiyo maaana wanamuziki wetu wote wanakufa masikini sababu ya wizi wa ujuzi! HAKUNA SHERIA IN ENTERTAINEMENT INDUSTRY! Njoo huku majuu ujaribu ku-copy na kuuza CD za mtu utajikuta unaozea jela! Tuache kashfa bali tujaribu kuchambua mambo kwa mapeo!

    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...