Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko yaliyovunja daraja la Gulwe na kakata mawasiliano kati ya Mji wa Mpwawa na eneo la la Kusini la Wilaya hiyo wakati alipotembelea eneao lililoathirika kwa mafuriko katika wilaya hiyo leo. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. James Msekella.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitoa maelekezo wakati wa kukakagua athari za mafuriko yaliyovunja daraja la Gulwe na kakata mawasiliano kati ya Mji wa Mpwawa na eneo la la Kusini
la Wilaya hiyo huku Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. James Msekella akimsikiliza kwa makini.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa eneo hilo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiangalia athari za mafuriko yaliyovunja daraja la Gulwe na kakata mawasiliano kati ya Mji wa Mpwawa na eneo la la Kusini la Wilaya hiyo. Shoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. James Msekella.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. UHARIBIFU WA MAZINGIRA SASA UNATUGHALIMU, MATOKEO YA KUACHA WATU WAFANYE SHUGHULI ZA KIBINAADAMU NDANI NA KANDO YA MITO JAMBO LINALOSABABISHA MMOMONYOKO WA UDONGO NA KUPUNGUA VINA VYA MITO NA MINGIE KUZIBA KABISA HIVYO KUBADILI MKONDO.

    ReplyDelete
  2. MASIKINI PINDA SIJUI KAMA ANA HABARI KUWA HUKU DAR POLISI WANAWAPIGA MABOMU WANAFUNZI WALIOBEBA MADAFTARI! ZAMANI NILIAMBIWA UKIWA ASKARI HUTAKIWI KUTUMIA BUSARA TENDA KWANZA KISHA ULIZA KAMA UTARUHUSIWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...