1. Arriving late.
2. Arriving too early.
3. Lighting up a cigarette, or smelling like a cigarette.
4. Bad-mouthing your last boss.
5. Lying about your skills/experience/knowledge.
6. Wearing the wrong (for this workplace!) clothes.
7. Forgetting the name of the person you're interviewing with.
8. Wearing a ton of perfume or aftershave.
9. Wearing sunglasses.
10. Wearing a Bluetooth earpiece.
11. Failing to research the employer in advance.
12. Failing to demonstrate enthusiasm.
13. Inquiring about benefits too soon.
14. Talking about salary requirements too soon.
15. Being unable to explain how your strengths and abilities apply to the job in question.
16. Failing to make a strong case for why you are the best person for this job.
17. Forgetting to bring a copy of your resume and/or portfolio.
18. Failing to remember what you wrote on your own resume.
19. Asking too many questions.
20. Asking no questions at all.
21. Being unprepared to answer the standard questions.
22. Failing to listen carefully to what the interviewer is saying.
23. Talking more than half the time.
24. Interrupting your interviewer.
25. Neglecting to match the communication style of your interviewer.
26. Yawning.
27. Slouching.
28. Bringing along a friend, or your mother.
29. Chewing gum, tobacco, your pen, your hair.
30. Laughing, giggling, whistling, humming, lip-smacking.
31. Saying "you know," "like," "I guess," and "um."
32. Name-dropping or bragging or sounding like a know-it-all.
33. Asking to use the bathroom.
34. Being falsely or exaggeratedly modest.
35. Shaking hands too weakly, or too firmly.
36. Failing to make eye contact (or making continuous eye contact).
37. Taking a seat before your interviewer does.
38. Becoming angry or defensive.
39. Complaining that you were kept waiting.
40. Complaining about anything!
41. Speaking rudely to the receptionist.
42. Letting your nervousness show.
43. Overexplaining why you lost your last job.
44. Being too familiar and jokey.
45. Sounding desperate.
46. Checking the time.
47. Oversharing.
48. Sounding rehearsed.
49. Leaving your cell phone on.
50. Failing to ask for the job


By Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Asante sana.
    good lesson.

    disminder.

    ReplyDelete
  2. Hongere sana mdau! Inaonyesha uko deep sana na masuala ya kiutawala maana ukimuuliza engeneer hapo yeye angekuambia wewe lete kazi uone. Saafi sana. Ni vitu vidogo lakini vimegharim wengi ama kwa kutokuvijua au kuvijua na kuvipuuza. Moja tu ninayoikumbuka mimi ni kuthibitisha au kukubali kuwa katika sehem hiyo ya kazi kuna ndugu yako, hapo napo unaweza kukosa ajira.

    Nzagamba

    ReplyDelete
  3. Asante sana Mdau; nami naomba niongeze pointi moja: 51. Picking you nose, belching or yawning during the interview.

    ReplyDelete
  4. Anony hapo juu...refer no. 26 and 27. Well... somo limenisisimua sana, kuna mahali nilikosa kazi kwa CV kujichanganya, niliyotuma kwa mail ikatofautiana na niliyokua nayo mkononi ingawa issues zilikua ni updating ...alooh we acha tu!!

    ReplyDelete
  5. inaelekea wewe mdau bado hujaangaika na interview ndio maana umeorodhesha huo upuuzi wako... dunia ya sasa huo upuuzi hauangaliwi labda uwe unaaply post ya customer care maybe wataconsider huo upuuzi hasa ktk appearance yako vingine watakufundisha ukianza kazi.
    dunia ya sasa ili mtu ufanikiwe kupata ajira kitu cha kwanza uwe na BAHATI wengine wanasema "NGEKEWA" pili hii kitu inaitwa "KIMEMO" hapo kwisha kazi ajira nje nje au utoe hongo na sielewi ni aina gani ya akhsante utakayo mridhisha boss. Ukifanyiwa interview na wazungu wao wanaangalia sana namna utakapo jielezea ni namna gani utafanikisha malengo yao au wanaangalia CV yako na kukupeleka field kwa matazamio maybe inawezekana huwezi kujieleza na vilevile ni too rough lakini ni very creative and well skilled katika fani yako (kiufupi wanaangalia working capacity ya brain yako.
    huo upuuuzi uliouorodhesha ni theory tu mwanangu in actual world does not exist... ukimaliza chuo ingia sokoni wakati kuna nyomi kibao ipo mtaani halafu wewe apply huo upuuzi katika kusaka ajira utacheki picha.

    tulipokuwa chuo tulikuwa tunadanganyana sana; "nikimaliza chuo mshahara naanza na 450,000 baadae baada ya mwaka mmoja naongezewa mshahara hapo take home si chini ya 600,000 nikiunganisha na kauper sec. class kangu mambo mwake". nikaaply huo upuuzi kwenye intvw mbalimbali... kichwa chini miguu juu nilitamani nipate hata 120 pmonth wapi...

    ashakum si matusi baada ya kusotakitaa mda mrefu mungu hamtupi mja wake sasa nimepata kazi mijini nimekimbia niko huku halmashauri kwa wamakonde napuliza oksygen kama sina akili nzuri alahamdulilahh nikijiandikia dokezo nikiadd na ka takehom 258,000 kangu aagh njia ya chooni haioti nyasi.

    ReplyDelete
  6. You are right man....

    however some of these are debetable... kama to use the bathroom.

    You can use the bathroom especially after the interview, which one is better? use it or pee on yourself? u pick

    Mimi nimefanyia watu kibao interview hapa Maine na to use a bathroom isn't a negative feature...may be overusing it could mean nervousness.

    ReplyDelete
  7. I am sorry, kwa hapa bongo hayo yote hayana maana cha msingi uwe na pesa za kutosha mfukoni.

    Kama huna pesa za kutosha basi uwe umejiandaa kuachia mshahara wako wa kwanza wa mwezi au miezi kadhaa.

    ReplyDelete
  8. Asnate sana.

    Kuna interview moja nilifanya hapo Vodacom nilipoingia tu baada ya kusalimiana wakaniuliza kama ningependa kunywa chai au maji?

    Nikawa sina uhakika kama ni ukarimu wa ukweli au ni mtego.

    Ila nikajibu nitakunywa maji.

    Wakaniambia ok. Maji yako pale nenda kamimine tuendelee.

    Je wataalam wa interview mnasemaje? Nilipaswa kuchukua kinywaji, au ningesema "No, thanks"?

    ReplyDelete
  9. ahahahahah!! Hapa Bongo hizo hazituhusu,ukishamjua boss ishu imeisha!!

    ReplyDelete
  10. Hizo zote ni sahihi kwa nchi isiyokuwa na upendeleo.Kwa TANZANIA, sababu muhimu ya kuka kazi ni
    1.kutokumfahamu mtu hapo unapoomba kazi.
    2.Kutokuwa na kimemo kutoka kwa wakubwa.
    3.kuwa fluent kwa kiinglish kuliko wanaokuhoji.

    ReplyDelete
  11. kujamba kwa bahati mbaya.

    ReplyDelete
  12. michuzi naona kama kawaida yako umezibania comment zangu kuzichapisha.zinazohusu originality na hii hiyo maada hapo juu.mdau amecopy na ku paste from yahoo,com na ni habari ya tarehe 16 pia habari hii imetoka kwenye US news tarehe 10 ikiwa na kichwa cha habari.50 Worst of the Worst (and Most Common) Job Interview Mistakes
    hope hii utaichapisha.

    ReplyDelete
  13. i disagree with tip # 2 eti arriving too early?? kaaa kaka michuzi si ndio unaonyesha kuwa uko na nia ya kazi? manake huku ulaya ukichelewa tu ndio imetoka hiyo utapigwa tarehe kila leo kinachofuata ni unapata barua ya kwamba "sorry" na kitu kingine kwa huku ulaya inategemeana uko maeneo gani manake wengine huwa kabla hawajakwita anaangalia jina kama unabahati mbaya unakosa kuitwa. Kuna kipindi hapa marekani kinaitwa "60 minutes" ambacho waliwahi kueleza sana wale ambao wana kisomo na nini hawaitwi kisa ana jina lilikokuwa la watu weusi mfano Shanikwa, Porche kama hayo so wakitizama tu wanaona huyu ni vurugu hatumtaki wakati unaweza kuwa mchapaji kazi mzuri sana. kingine ni wanaweza wasikuchukue sababu wewe ni mweusi, au accent yako wanadai "HAWAIELEWI" na pia kaa mbali sana wa watu wanaotoka phillipines manake hao ni kwa kujipendekeza ndio wenyewe ila uwe tu chonjo huku unatizama mambo mengine, kama wakunga walivyosema mlango ukifunga huu, ule unafunguka.
    Binafsi saa niko nyumbani niliwahi kufanya kazi ssehemu nyingi ila sehemu yangu ya mwisho niliachishwa bila ya sababu yoyote na ndio nikaondoka zangu, na wale wote walionifitini wako "JUANI" sababu waliishia kupelekana mahakamani na mwenye mali, wengine wameishia tu kubangaiza na mwisho mwenye mali alifariki dunia kwa shinikizo la damu RIP - (nimemsamehe) sasa hivi nimekaa ulaya nimesoma natanua na matatizo ya kawaida tu ila kisomo changu ndio kinachoniletea kazi tofauti natoka hapa naenda pale.

    ALL THE BEST.

    ReplyDelete
  14. sikubaliani na kipengele numba 17. unapopeleka maombi ya kazi daima unaambatanisha na cv, unless kama mwajiri alitowa fomu na kusisitiza usitume cv, sasa cv ya nini unapokwenda kwenye intavyuu?

    ReplyDelete
  15. Or not applying for the job all together, lol

    ReplyDelete
  16. Hata hapa USA 75% ya hayo ni nothing. Mwanzangu siku hizi ni networking tu...Unapewa resume ya mtu unayemuiterview juu umeandikiwa amekua reffered na mtu fulani. Hilo jina la huyo aliyemreffer ni kiboba wa kampuni unayofanya kazi. Sasa niambie...wengine wote wanaokuja nyuma ni kujanza tu ukurasa kuwa tulienterview watu kumi kwenye hii position kumbe mwenye position umeshaonyeshwa ni nani?

    Ulimwengu wa leo bwana kazi kindugu ndugu tu

    ReplyDelete
  17. Mdau umetoa elimu ya msingi sana. Nakushukuru sana haijalishi umedesa wapi, huyo anaony wa 08:21pm ni mbinafsi na mchoyo, sasa kama jamaa kaitoa yahoo tatizo ni nini, unafikiri kila mtu anaiona huko yahoo iliko? Kama umeona kitu kizuri somewhere kwanini usishirikishe wadau?

    Pili anony wa 04:58pm amezungumza pumba sana. Inaonuesha yeye anaamini sana ushirikina na unajimu. Ngekewa ni nini katika ulimwengu wa sayansi na teknolojia? Ni either unajua mambo na unaweza ku-deliver au kaa pembeni. Kwa sababu wewe unafanya mambo yako kwa ndumba na kutegemea watoa ngekewa na wasoma nyota usifikiri kila mtu anaishi hivyo. Watu wanapata kazi kiulaiiini kwa sababu wana ujuzi, uwezo na wanapiga mzigo.

    Mwisho huyu wa anayezungumzia 'kumfahamu mtu mahali' na mwingine kazungumzia 'uwe na pesa', hawa ndio wanaorudisha nyuma maendeleo ya nchi. Unaajiri mtu asiye na sifa na uwezo just because unamfahamu au katoa rushwa ya pesa au ngono, unategemea huyo mtu ata-deliver? Na attitude yake kazini itakuwaje? Na nyie mnaotoa pesa na kutegemea wajomba zenu na ma-God father kupata kazi, kiama chenu kinakuja. Tunaingia katika ulimwengu ambao professionalism ndio itakayotawala, sio chupi wala pesa. Mtaumbuka.

    ReplyDelete
  18. WABONGO BWANA...MTU ANAJITOLEA KUSAIDIA HALAFU KUNA JINGA LINGINE ETI LINAMWITA MPUUZI....AKILI KWELI HII JAMANI?? KAMA HAIKUSAIDII WEWE SI UKAE KIMYA ILI IWASAIDIE WENGINE??

    ReplyDelete
  19. Acheni "English"!

    ReplyDelete
  20. so what?

    ReplyDelete
  21. watu wengine bwana! yaani mmeikalia ujinga tu! eti kazi kazi; hivi hamuezi kuongelea mambo mengini ya muhimu kuliko kazi? mambo yakupita tu hayo.na ukisha pata ao kuajiriwa hiyo kazi iko siku tu moja utaiona chungu nakuiacha na wala huto tosheka nayo hata siku moja ila matatizo ndio yatakuwa mengiiii! tusindangayani mungu anampa amtakae na anamnyima amtakae END OF STORIES!sio oh umeenda bathroom ao emejikuna pua ndio sababu za mtu kukosa kazi!mdau toka bujumbura

    ReplyDelete
  22. JAMANI NAOMBA TUELEWANE. MSHIKAJI AMEJARIBU KURECTIFY SHRM.SIO VIZURI KUANZA KUMTUKANA.TUJIFUNZE JINSI YA UENDELEZA MJADALA.INAJULIKANA KAZI NI BAHATI WAKATI MWINGINE LAKINI POINT HIZO NI MUHIMU SANA.KAMA KUNA WADAU WAMEPITIA KUBUKUA HRM WANGEMFAHAMU NINI ANAZUNGUMZIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...