Mdau wa Indiana Frank Mwaisaka (Man in Black) akiwa anajiandaa kwa mnuso wa kusheherekea besdei yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka nanihii akiwa na mdau wa Houston, Mr Bonny

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Wadau, nina Birthday yangu ya kutimiza miaka nanihii. Vikao vya shughuli hiyo vitaanza karibuni. Naomba michango yenu tafadhali!!

    ReplyDelete
  2. Suti za kushona za Kinondoni muwe mnaziacha kabla hamjapanda ndege jamani.

    ReplyDelete
  3. epi besdei tu you!! Mungu akujalie miaka lukuki na uvione vitukuu vyako!!

    ReplyDelete
  4. lisuti likkubwa umeazima ?? muwe mnaangalia vivazi vya kuwatoa chicha asio ali maradi anyway hepi besdei

    ReplyDelete
  5. Suti alishona mwakitalima pale keko mwanga...imekutoa kinokoo du hadi noma

    ReplyDelete
  6. Mbona Wengine tukituma picha zetu za besidei huzitoi humu kwenye blog yetu ya Jamii tuipendayo? au mpaka tuwe India?

    ReplyDelete
  7. hehehe mie siwexi ruhusu picha yangu iweke humu maana mh mnajuia kcuahmbua wadau jhamna hata huruma

    ReplyDelete
  8. Ama kweli box limekubali mshikaji kachoka kweli kweli na hiyo suti ya temeke maduka mawili, hepi bethidai to u!!!!

    ReplyDelete
  9. mdau wa "besdee" hongera...sana kaka! Sherehe ulifanyia Chinese Buffet au? na si wanafunga sa 3 pale South Bend? au ilikuwa dei taymu?...kimyaa..nlijua ushafika maeneo ya Mwakaleli...na meza yako ya kuuza "makatapela" pale soko matola...rafiki ako Bowling Green, OH

    ReplyDelete
  10. Wabongo acheni kuwa maHATERS wivu tu unawasumbua wakaka wapeneza na suti zao nyie wivu tu. It does not matter hizo suti nizawapi bora wamevaa na kujisitiri na nyie kama mnajua kupiga pamba mbona hamuweki picha zenu kwenye blog. Tuwe watu wa positive comments jamani. Happy birthday kaka may you live long.

    ReplyDelete
  11. wabongo noma....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...