Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 50 kutoka kwa Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Imani Lwinga kwa ajili ya maendeleo ya timu ya soka ya Tanzania, (Taifa Stars).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. pesa zinatolewa kila siku mafanikio hakuna kwa nini zisisaidie yatima kibao bongo tujue angalau kuwa mwenyezi mungu atatujalia wema? Maximo aondoke na aletwe kocha mwingine aanze upya na mambo mapya, na pia makataba uwe wenye muda wa kuangalia mafanikio kwa mfano miaka mitatu, baada ya mwaka na nusu tuangalie maendeleo ya timu kama hakuna chochote kipya basi ufutwe aletwe mwingine.Tuache tabia ya kusubiri hadi kidonda kinaoza halafu tutaanza kutupiana lawama.
    wenu Mkereketwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...