Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi ili kuzindua rasmi ujenzi wa machinjio ya kisasa ya NARCO huko ruvu, mkoa wa Pwani leo asubuhi.Kulia ni Waziri wa mifugo na Uvuvi Dr.John Pombe Magufuli, watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za Taifa Salum Shamte na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na waziri wa Maendeleo ya Mifugo na uvuvi Dr.John Pombe Magufuli(wapili kushoto),Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamunyange(wanne kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Ranchi za taifa Bwana Salum Shamte(kushoto) muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi katika machinjio ya kisasa huko ruvu mkoa wa Pwani unaofanywa na shirika kla SUMA JKT leo asubuhi.
Wataalamu wa ujenzi kutoka katika shirika la SUMA JKT wakimpa Rais Jakaya Mrisho Kikwete maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa machinjio ya kisasa unaofanywa na shirika hilo wakati Rais alipokuwa akikagua ujenzi huo muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi katika machinjio hayo leo asubuhi.
(Picha na Fredy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...