Mkawaha wa Vitabu Soma unakukaribisha katika mdahalo wa wazi wa kukitambulisha kitabu kipya kinachohusu Ukombozi wa Afrika na Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere. Mdahalo huu utafanyika Jumanne, Tarehe 20 Aprili 2010 katika Mkawaha wa Soma kuanziaa Saa Kumi na Nusu (10:30) Jioni. Baadhi ya waandishi wa kitabu hiki, Salma Maoulidi, Prof. Chris Maina Peter, Helen Kijo-Bisimba, Prof. Faustin Kamuzora, Neema Ndunguru, Madaraka Nyerere, Prof. Marjorie Mbilinyi, Vicensia Shule na Prof. Issa Shivji watajumuika katika mdahalo huo. Mmoja wa wahariri wa Kitabu hicho, Chambi Chachage, ataratibu mdahalo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. GONE TOO SOON " Nimekuja kugundua umuhimu wa NYERERE after he was gone . Its not easy to run a country after the effect of colonilization . HE DID .He died and left the country he has been fighting . I'm 19 but, your history and legacy will live on forever . Without your education policy ( equal to every one ) My mother would not had her PHD . I really thank you and appreciate your "Distribution of wealth and no one is better than anybody else . We will continue your work and going to remote villages to help the people who haven't seen any help since your gone .Once I finish my masters my job will be that " helping the people whom the Government has ignored . WE MISS YOU "GONE TOO SOON"

    ReplyDelete
  2. I agree with you Anon. wa hapo juu.... Ni wa Tanzania wachache sana wanaofahamu hayo...hili linasikitisha sana tena kwa umri wako ninakupngeza na nina imani utafika mbali na unatupa tumaini na nchi yetu. God bless you... and thank you.

    ReplyDelete
  3. Anonymous hapo juu naomba tuwasiliane. Ujumbe wako umenigusa sana. Nchi yetu inahitaji moyo wa aina hiyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...