KUNA DAKTARI BINGWA WA NGOZI TANZANIA ANAITWA SALVATORY NTUBIKA. NI SPECIALIST WA MAGONJWA YA NGOZI. DEMATOLOGIST. ALISOMEA GERMANY NA ALIKUWA ANAFANYA KAZI PALE KAIRUKI HOSPITALI-MIKOCHENI.

NINAOMBA MTU YEYOTE ANAYEJUA HUYU DAKTARI YUKO HOSPITAL GANI/ CONTACTS ZAKE IF POSSIBLE ANIAMBIE TAFADHALI AU KAMA KUNA DEMATOLOGIST MZURI UNAYEMFAHAMU UKINIAMBIA UTAKUWA UMENISAIDIA SANA.

NATANGULIZA SHUKRANI
ZA DHATI KWENU.
MDAU DAR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Nenda kwa Dr. Massawe, kama unakwenda muhimbili karibu na corner walipokuwa wanachinga majeneza, na kwa siku anachukua wagonjwa sita tu inabidi uende ufanye appointment

    ReplyDelete
  2. Duh
    ni mshkaji wangu huyo ...namba ninayo lakini sidhani kama ni ustaarabu kuitoa hapa...
    labda thru email

    ReplyDelete
  3. mtafute hospital ya rufaa mbeya

    ReplyDelete
  4. Mdau Mgonjwa,

    Ukimpata Dr. Massawe utapita utapunguza matatizo yako. Dakta huyu amesomea Marekani na pia ni bingwa wa ugonjwa wa ngozi (Dermatologist).

    Tatizo ni dawa. Tanzania hatuna uwezo wa kununua dawa za kileo kwa kuwa ni ghali. Madaktari na serikali wanaagiza madawa ambayo ni rahisi au pengine hayatumiki tena nchi za kitajiri. Kwa mfano, utakuta mgonjwa anapewa antibiotics kama njugu akiwa ana mafua au ametoa jino. Nilishawahi kuchukua hivi vidonge lakini daktari huku Marekani akasema kuwa wanatumia kwa wagonjwa taabani kama wa moyo kupunguza maumivu au kukausha kidonda lakini sisi tunatumia kupunguza maumivu wa jino au mafua. Mwishoni, madawa yanatudhuru au mwili unajenga kinga. Kwa ufupi, madaktari bingwa tunao, ttizo ni dawa za kututibu ni za kizamani au sinatudhuru wenyewe badala ya kutuponyesha. Kama una hela, bora nunua dawa za kileo anazojijua daktari badala ya kwenda katika maduka ya madawa ambayo yanauza sumu badala ya tiba.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naomba no yake basi dr masawae

      Delete
    2. Naomba no yake basi dr masawae

      Delete
    3. Naomba no yake basi dr masawae

      Delete
  5. Huyu siku hizi kawa sana mlevi wa pombe za kienyeji. Yuko Chanika mwisho kule siku hizi anaendesha pharmacy dongo pale. Naona kama vile kadata

    ReplyDelete
  6. Nimewasiliana na Daktari Ntubika kwa simu. Nami pia ni daktari wangu wa ngozi na ndio maana nilipoona ujumbe huu na kwa kujua matatizo ya ngozi yalivyo magumu kutibika nikawasiliana naye. Amenielekeza nitoe namba yake hapa kwa mawasiliano naye. Namba yake ni 0717433403.

    ReplyDelete
  7. mdau wa kwanza yuko sahihi kabisa

    ReplyDelete
  8. Mdau kaomba numba ya ya Dr. Ntubika, alakini nyie mnamwmabia Dr. Masawe kwani kila mtu anaye mtafuta dakitari lazima awe mgonjwa? Mnajuaje kama anayemtafuta ni ni mwanae anayejaribu kumtafuta mzazi wake ambaye hawajaonana tanga azaliwe?

    Au mnajuaje kama ni clasimeti wake wa zamani ndio anamtafuta au pangine ni ndugu au hata adui?

    ReplyDelete
  9. We anony unayesema eti mshkaji kawa mlevi, sijui ana pharmacy Chanika.....ACHA KUHATE. Kama anakunywa pombe, its non of your business. Hivi kwa nini watu mnapenda kuingilia maisha ya watu? Jamaa kama ni shule amekula ya kutosha, au wewe unaumia unapoona mwenzio anatafutwa kwenye globu ya ndugu Issa? Please stop hating. Hii inaonyesha ulivyojaa roho ya korosho. The guy is educated and you will do nothing about that. By the way, he wants to do a PhD in that area-again!

    After all kunywa pombe ya kienyeji kuna taabu gani? kuna wengine mpaka leo tuna PhD lakini pombe za kienyeji tunakunywa. Asili yetu hatuachi, simply because tumesoma ulaya au kwingineko. So..judge a person on merit..na siyo kuja hapa na kuhate na kauli zako za kizandiki...

    I personally know Salva, ni mtu makini sana anayeijua kazi yake. Sasa wewe unakuja kuhate hapa, sijui alikuchukulia demu? Sielewi kwa nini baadhi ya wabongo tunatakiana failures tuu! Duh..viumbe wengine bwana, mpaka wanakatisha tamaa.

    ReplyDelete
  10. I believe Anony Fri Apr 16, 01:53:00 PM hamjui huyu mtu na ameongelea ulevi kama joke in a form ya jungu-kumponda.

    So guys dont try to kill him. Ni mtu kapiga dongo lake ambalo halina ukweli wala nn.

    This is my assumption and just dont take it too serious. Tuweni wepesi wa kujifunza tabia hasa za wabongo. They are free to say anything they feel. They are good in kuponda than kuwa supportive.

    Tumsamehe

    ReplyDelete
  11. Ndio maana kila sikumimi napinga sana hiki kitendo cha Mr Michuzi kuweka majina ya watu bila idhini zao au wale watu wanaowatafuta rafiki zao wa zamani na kutundika tu majina yao humu...Unaona hinsi watu wanaowachafulia watu wengine majina yao...Sasa huyo anayesema huyu mtu hivi huyu mtu that...Wewe inakuhusu nini kusema watu namna hiyo kwenye public sites....Unajua hiyo ikishaingia kwenye web basi ndio for imekaa na watu wangapi watasoma na si ajabu ni uongo wako basi umeshaweka maumbeya yako humu...

    Watanzania we need to grow up and mind our business....

    KAMA HUYO ALIVYOSEMA STOP HATING

    ReplyDelete
  12. Bwana Michuzi,naomba
    Msaada tutani mimi ni Dani nipo ughaibuni,nimepotezana na ndugu yangu jina ni Levenson (BODE)Sichone tangu mwaka 1983 kwa mara ya mwisho ilisemekana ameenda Morogoro, kama kuna mtu amemwona tuwasiliane kwa namba +447404503109 au e-mail benyani_sichone@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...