Picha ya pamoja na wachungaji baada ya kumeremeta
Angela Bondo akiandaa kipindi chake cha 'Chereko' kinachorushwa kila Jumapili na TBC-1 kuhusu mambo ya minuso na chereko zingine
MC Godwin Gondwe akiwa na Swai-G katika kutambulisha familia
Mdau Swai G na mai waifu wake Jennifer a.k.a J-Lo wakiserebuka kwenye mnuso wao usiku huu ukumbi wa Five Star ulioko Mbezi Samaki jijini Dar. Swai G anapiga boxi KCB bank wakati J-Lo yuko Alpha Dry Cleaners. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA
Kweli ilipendesa, dada wa watu anaserebuka na maua, wapambe wangemshikia ili aserebuka!
ReplyDeletekweli harusi imependeza thanks michuzi kutuwekea hizi clip u made my day hope to see more of this
ReplyDeleteGauni la bibi harusi zuri!
ReplyDeletebwana harusi anapenda kuselebuka atakua analala disko.
ReplyDeletekuna dadanmmoja kavaa suti nyeusi anaitwa matilda!!jamani uko wapi siku hizi?katokea maeneo ya kisiki..mdau narvik
ReplyDeleteAsante Uncle Michu kwa hii Video, harusi nzuri sana. Yakwangu inakuja July, i hope mambo yataenda nzuri. please weka more Videos so dat we can get more wedding tips. Upendo wa Yesu wanizunguka!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletehongereni saana kweli mlipendeza sana shughuli nayo ilinoga vilivyo mdumu katika pendo. amen
ReplyDeleteHome is Home, Watu wamejawa na furaha tele
ReplyDeleteannon #4 toka juu umenichekeshaa
ReplyDeletena kweli bwana harusi anayarudi adi anamsahau bi harusi???khaaaa
bibie iyo nguo ikianguka jee?afu una aibu iyo ya kweli?
mkae na pendo la Yesu wanaharusi