Swai G na mai waifu wake mara baada ya kumeremeta kanisa la Azania Front wakiwa na wapambe wao james na jacquiline
Picha ya pamoja na wachungaji baada ya kumeremeta
Angela Bondo akiandaa kipindi chake cha 'Chereko' kinachorushwa kila Jumapili na TBC-1 kuhusu mambo ya minuso na chereko zingine
MC Godwin Gondwe akiwa na Swai-G katika kutambulisha familia
wadau katika mnuso huo
maharusi na wazazi
maharusi wakitoa zawadi ya picha ya harusi ya wazazi wa Swai G
wapiga boxi wenzie wa KCB bank
bosi wa KCB bank akitoa nasaha
Swai G akinining'inizwa na wenzie wa KCB bank
maharusi na kamati ya maandalizi

Mdau Swai G na mai waifu wake Jennifer a.k.a J-Lo wakiserebuka kwenye mnuso wao usiku huu ukumbi wa Five Star ulioko Mbezi Samaki jijini Dar. Swai G anapiga boxi KCB bank wakati J-Lo yuko Alpha Dry Cleaners. Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA













Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2010

    Kweli ilipendesa, dada wa watu anaserebuka na maua, wapambe wangemshikia ili aserebuka!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2010

    kweli harusi imependeza thanks michuzi kutuwekea hizi clip u made my day hope to see more of this

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2010

    Gauni la bibi harusi zuri!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2010

    bwana harusi anapenda kuselebuka atakua analala disko.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2010

    kuna dadanmmoja kavaa suti nyeusi anaitwa matilda!!jamani uko wapi siku hizi?katokea maeneo ya kisiki..mdau narvik

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2010

    Asante Uncle Michu kwa hii Video, harusi nzuri sana. Yakwangu inakuja July, i hope mambo yataenda nzuri. please weka more Videos so dat we can get more wedding tips. Upendo wa Yesu wanizunguka!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 03, 2010

    hongereni saana kweli mlipendeza sana shughuli nayo ilinoga vilivyo mdumu katika pendo. amen

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 03, 2010

    Home is Home, Watu wamejawa na furaha tele

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 03, 2010

    annon #4 toka juu umenichekeshaa

    na kweli bwana harusi anayarudi adi anamsahau bi harusi???khaaaa

    bibie iyo nguo ikianguka jee?afu una aibu iyo ya kweli?

    mkae na pendo la Yesu wanaharusi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...