Wanamuziki mahiri kutoka nchini Uganda pichani kushoto Radio na kulia Weasal wakizungumza mbele ya waandishi wa habari leo jioni kwenye viunga vya Club Maisha kuhusiana na shoo yao itakayofanyika usiku huu ndani ya Club Maisha jijini Dar,Katikati ni Afisa Uhusiana wa Club Maisha Penniel Mwingila.Shoo hiyo imepangwa kuwa kiingilini ni 20,000/= kwa watu maalumu a.k.a VIP huku watu wa kaiwaida 10,000/= kwa kila kichwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...