Mgombea Urais kwa chama cha CCM,Dk Jakaya Kikwete akifafanua jambo mapema leo asubuhi alipofanya mahojiano LIVE kupitia kipindi cha Power Breakfast kutoka redio ya Clouds FM 88.4 jijini Dar.Pichani ni watangazaji wa kipindi hicho Gerald Hando pamoja na Barbra Hassan.Dk Jakaya Kikwete leo usiku mnamo majira ya saa mbili usiku mpaka saa nne atazungumza na vyombo vya habari mbalimbali katika ukumbi wa Anatoglo,jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hehehee, good move Mr President, sorry I mean the current and future President of Tanzania umegundua mapema kuwa

    "Two opposition parties stand out. Chadema is strong among richer smallholders, most of whom belong to the Chagga people around Mount Kilimanjaro. The Civic United Front is backed by quite a few Muslims on the coast and in the autonomous island of Zanzibar.

    But they are too weak to topple the all-powerful CCM. Mr Kikwete and Tanzania will gently potter along." Source The Economist.

    Usiende ITV na Radio One, waachie wenyewe na chama chao lakini wameula wa chuya mwaka huu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...