Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Tim Clarke akizungumza katika uzinduzi wa filamu za Ulaya uliofanyika New World Cinema,Mwenge jijini Dar usiku huu. Mmoja wa watengeneza filamu kutoka nchini Ujerumani,Matthias Luthardt akitoa maelezo ya filamu yake aliyoitengeneza,kwenye uzinduzi wa filamu za Ulaya uliofanyika jioni hii katika ukumbi wa New World Cinema,Mwenge jijini Dar.
Balozi wa Ufaransa nchini,Jaque Champagne de Labriolle (kushoto) akiwa katika mazungumzo na mmoja wa wageni waliofika katika uzinduzi huo.
Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini,Tim Clarke akibadilishana mawazo na baadhi ya wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi huo wa filamu uliofanyika jioni hii katika ukumbi wa New World Cinema,Mwenge jijini Dar.
Tayana Tibenda (shoto) kutoka 1 plus,akifanya mahojiano na mmoja wa watengeneza filamu kutoka nchini Ujerumani,Matthias Luthardt katika uzinduzi wa filamu za Ulaya uliofanyika jioni hii katika ukumbi wa New World Cinema,Mwenge jijini Dar.
Mkuu wa Kitengo cha Habari ofisi ya Umoja wa Ulaya Tom Vens (kushoto) akiwa katika mazungumzo na mmoja wa waakilishi wa balozi za umoja wa Ulaya.
wageni waalikwa wakibadilishana mawazo.
vijawa wa Wanne Star wakicheza na Nyoka katika uzinduzi wa Filamu za Ulaya uliofanyika jioni hii katika ukumbi wa New World Cinema,Mwenge jijini Dar.
Balozi wa Umoja wa Ulaya,Tim Clarke (katikati) akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Kitengo cha Habari ofisi ya Umoja wa Ulaya Tom Vens (kushoto) na Mkurugenzi wa 1Plus,Fina Mango
Balozi wa Ufaransa nchini,Jaque Champagne de Labriolle akicheza na Nyoka.
Balozi wa Umoja wa Ulaya,Tim Crarke (pili kulia) akimwangalia Ofisa Habari wa Umoja wa Ulaya nchini,Henry Lyimo (kulia).wengine ni mchezea Nyoka hiyo na mmoja wa wageni waalikwa.
furaha ilitawala katika uzinduzi huo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michuzi wamekulipa ngapi mbona picha nyingi mno. Wakifanya Zenji festival ya weusi picha haiwi nyingi hivyo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...