TEMBELEA MICHUZI POST UPATE BARAZA
LOTE JIPYA LA MAWZIRI KWA USAHIHI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. JK angemteua Aden Rage pale kati kwenye michezo,ingekuwa mbaratatataaaa.

    ReplyDelete
  2. YES!! ...nafikiri vijiko na matingatinga barabarani vimetikisika kwa mshituko baada ya Mh. Pombe Magufuri kutajwa!!

    Idumu Tanzania!!

    ReplyDelete
  3. Hongera sana muh. JK kwa kuchagua baraza makini na lenye matumaini makubwa kwa wenye mtazamo endelevu na usio na kani mbadala.

    Eng.GMCYY.(Atomic engineering and chemical explosion management)

    ReplyDelete
  4. Namba 22 sijaelewa.

    22. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba Umi Ali Mwalimu.
    Hapa naona mkuu umechanganya majina mawili pamoja. Kuna mama mzenji nadhani ni Naibu hapa anaitwa Umi Ali Mwalimu, au sio?

    ReplyDelete
  5. 10. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi vipi mtu kasomea Udaktari anapewa sehemu kama hiyo sababu atajenga TAIFA? wapeni jamani watu kutokana na elimu yao na mfano wao wa kuifanyia kazi kwa ujuzi wao jamani. KK.

    Na Safarihii Tunaomba Waziri wa Maji afanyie kazi Hasa Ile mikoa na sehemu za mikoa ambazo watu wanapata matatizo ya maji sio wale wanaopata maji angalau wana ma tank ya akiba. KK

    ReplyDelete
  6. Hongera Mhe. Rais Kikwete kwa uteuzi wa Baraza la Maziri.

    Matumaini yetu ni kwamba watayasikiliza kwa makini vilio vya wananchi dhidi ya kero za umasikini na kuishirikisha ilani ya uchaguzi ya CCM 2010-2015, kwa ari zaidi,nguvu zaidi na kasi zaidi ili kukidhi mahitaji kwa viwango vya juu.

    CCM UK inakuunga mkono ktk juhudi za kuwakomboa Watanzania.

    MAPINDUZI DAIMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    MAINA ANG'IELA OWINO
    CCM UK

    ReplyDelete
  7. I appreciate the thinking and selection of the new ministers. Congratulation to all ministers in the new cabinet and big up to Mr. President and his Prime Minister. My hope and trust are back. You have proven that you can listen to your people and make strong and sound decisions.

    I see all accounts of good intentions and commitment to deliver. We will support your moves to build this Nation.

    ReplyDelete
  8. SAAFI SANA MH. RAIS UMEFANYA KAZI KUUBWA SANA, KAZI ILIYOPO SASA NI HAO WACHAPAKAZI KUCHAPA KAZI KWELI KWELI, ILI 2015 TUSIJE YUMBA TENA KISIASA. KWANZA NAPENDA NIWASIHI WAWE WANAMTANGULIZA MUNGU KATIKA KAZI ZAO, KWA NGUVU ZAO TU HAWATAWEZA. ANZA NA MUNGU. MTAONA MAFANIKIO KATIKA UJENZI WA TAIFA.

    ReplyDelete
  9. Jumla mawaziri + manaibu ni 50, ukubwa huu lazima tutaona kasi ya maendeleo kwa mruko ( a big lip forward)Tanzania.

    ReplyDelete
  10. Ndugu Mawaziri msimuangushe Mh. Rais na Watanzania kwa ujumla, fanyeni kazi kwa bidii, acheni kusoma Internet tuu maofisini na kusoma face book. kazi kwanza.

    Pia jaribuni kuomba ushauri kwa wanataaluma wenye utaalamu mbalimbali ili pale mnapoona hapawezekani watoe ushauri jinsi gani mnaweza kufanikiwa.

    Anza na Bwana. kila jambo kwa jina lake linawezekana na mtaona taifa la Tanzania litakavyobarikiwa.

    Acheni majungu, msifanyie kazi majungu. mtasonga mbele

    ReplyDelete
  11. Wenye digrii za ukosoaji kazi kwenu, sura ngeni kibao. Hapa kuna watu wataibuka na hoja za wizara gani imekamatwa na mtu wa dini gani? utafikiri baraza la mawaziri ni hekalu la kuabudia, ole wenu mnaopika majungu ya staili hii.

    ReplyDelete
  12. Hemed KagobeNovember 24, 2010

    Nimefurahi sana kumuona MAGUFULI, katika UJENZI NA PROF.TIBAIJUKA katita Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. kwani hili ni tatizo kubwa sana kwa watanzania wengi. kwahiyo tuna tarajia mabadiliko na maendeleo makubwa katika hii sector. ukizingatia wote ni wachapa kazi.

    ReplyDelete
  13. MICHOSHO MINGI LABDA WIZARA MBILI NDIO ZIMEBAHATIKA, WATANZANIA WATAAMBULIA KITU 1. WIZARA YA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI 2.WIZARA YA UJENZI

    ReplyDelete
  14. ivi imetumika busara gani kumpumzisha Prof Mwakyusa na kumteau Mwakyembe ili apunguze mashambulizi?Kombani sheria na katiba?
    Eti wizara ya uchukuzi na wizara ya ujenzi...aya, kwa pamoja tuzidi kusonga mbele

    ReplyDelete
  15. HONGERA KAKA MICHUZI KWA WEB MPYA - MICHUZI POST. NAAMINI ITATUABARISHA SANA NA KWA WAKATI ( ON TIME). MAGAZETI MENGINE WANATUPA HABARI BAADA YA SIKU MBILI. KEEP IT UP KAKA

    ReplyDelete
  16. HONGERA KAKA MICHUZI KWA WEB MPYA - MICHUZI POST. NAAMINI ITATUABARISHA SANA NA KWA WAKATI ( ON TIME). MAGAZETI MENGINE WANATUPA HABARI BAADA YA SIKU MBILI. KEEP IT UP KAKA

    ReplyDelete
  17. Salaam Kaka Mithupu,


    Kwa kweli sijapata kuona baraza la mawaziri zuri kama hili tokea nimepata ufahamu wa akili (tokea nimezaliwa) kwa kweli ni baraza lenye watu ambao hawana KASHFA!!! na wanaonekana wachapa kazi, maana ukiangalia makazi huyu mama naona atabadilisha maeneneo ya temeke kwa uwanja wa fisi pale, na kadhalika, magufuli sasa barabara zitajengwa !! HONGERA SANA RAIS KIKWETE tna tunategemea hawa ulowachagua hawatakuangusha .... WELLE DONE hapa umetukuna na atakaesema vibaya basi MDOMO WAKE UENDE UPANDE

    ReplyDelete
  18. sasa kazi hianze sio muanze kujilimbika mali pesa za bajeti zikitoka.muanze kufunga safari za nje.miaka mitano sio mingi mkumbuke
    wananchi wanataka hali nzuri zaid,

    ReplyDelete
  19. Sasa wizara mbili zimepata meno Ardhi na Ujenzi, kwingine mh!!!! Elisha

    ReplyDelete
  20. gatuso dimbaNovember 24, 2010

    Safi sana labda hao uliowachagu wakuangushe tu ila umejitaidi kufanya kweli sana sana WIZARA YA NYUMBA NA MAKAZI + UJENZI hapo safi sana jaribu kuwapa somo wachape kazi vilivyo kama sio hizo 2015 tunawachapa tena kama ilivyokuwa kipindi hichi kazi kwenu nyie wabunge wenye mtazamo wa maslahi ya chamba kwanza na si taifa mtajuta

    ReplyDelete
  21. We anon hapo juu wa saa 2.30 embu tuambie wizara ya Ulinzi inabidi usomee wapi!!!au kuna shahada hiyoo!!!usikurupuke tuu uropoka jaribu kutathmını kwanza.

    ReplyDelete
  22. wewe anon wa Wed Nov 24, 06:37:00 PM kuna wizara nyengine huwa zinakuwa na utendaji bora zaidi kama waziri wao ana link na kazi zifanywazo na wafanyakazi wa wizara husika. kwa maana nyengine waziri ana-experience ya kazi zifanywazo na wizara yake.

    Mfano mzuri ni bora waziri mwenye elimu ya mambo ya fedha uwa waziri wa fedha kuliko kuwa waziri wa maji. Waziri mwenye elimu ya udaktari ni bora zaidi kuwa waziri wa afya kuliko kuwa waziri wa ulinzi n.k.

    ReplyDelete
  23. kwa baraza hili jk hongera na kwa sasa naona chombo muhimu cha usalama wa taifa kimefanya kazi ingawa gender aijazingatiwa kikamilifu hila umeteua watu makini na wanaonekana ni wachapa kazi pia pls makatibu wakuu waangalie pia kuna uzembe huko pia

    ReplyDelete
  24. Sasa wale mlikuwa mananibishia kule kwenye ile Topic baada ya Raisi Kuteua wabunge watatu. Sasa mtaficha wapi sura zenu?? Msibishane tu kama jambo hamlijui

    ReplyDelete
  25. Raisi amejitahidi kuunda baraza la mawaziri. Ila na kubwa sana. Halafu watu makini wapo ila pia kuna baadhi wamejipenyeza hawakutakiwa wawepo humo. Ila Hongera Mhe. Raisi.

    ReplyDelete
  26. Anon wa 10.04PM nakubaliana na wewe kabisa kwa wizara ulizozitaja lakini lazima ujue kuna baadhi ya wizara zinahitaji upewo tu wa kunjanganua mambo husika sio mpaka kuwa na taaluma maalum.mfano nı hiyo wizara ya ulinzi hata uraisi sio lazima uwe na taaluma ya management unaweza kuwa na elimu nyingine ilimradi uweze kumudu.Nadhanı tumeelewana ndugu.

    ReplyDelete
  27. Nimefurahi sanaaaa. Hongera Mheshimiwa kwa kumuweka Dr. Pombe kwenye wizara nyeti ya FLY OVERS(barabara za juu) Sijui na Wizara ya Foleni za Magari Dar atashughulikia yeye????!!! Bonge la kombinesheni, Dr. Pombe na Dr Mwakyembe! Fly Overs Oyeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  28. Kaka Michuzi naomba kuuliza,iko wapi wizara ya miundo mbinu?
    Pia napongeza baraza jipya la mawaziri!

    ReplyDelete
  29. Anon Nov. 25, 08:38:00 a.m NAKUPONGEZA KWA SWALI......where is MIUNDOMBINU?....i am very sure haiko kwa Magufuli.....or is the language trick.....could "MIUNDOMBINU" means "MAWASILIANO".....in doubt!

    ReplyDelete
  30. Hongera Mhe.JK. Umesikiliza vilio vya wengi. Natarajia kuwa ulio wateua hawata kuanguasha, kwani mtazamo wangu binafsi naona walio wengi kati yao ni waadilifu. Na ninashukuru kwa kuto mteua Meghj maana binafsi nisingekuelewa unatazamo gani kwa muacha baraza lililopita na kumteua katika baraza hili.

    ReplyDelete
  31. miundombinu breaks into (1)Ujenzi and (2)Uchukuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...