Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huwa nasikia Wamerikani wakisema oh this unamerican or that is unamerican. Huwa najiuliza hivi Utanzania ni nini? Ni kitu gani ambacho mtu akifanya anakuwa amekeuka misingi Utanzania? Sasa nimepata jibu. Utanzania ni amani na utulivu. Mtu yeyote atakayetukletea kitu kitakachovunja amani, utulivu na kupingana kistaarabu atakuwa amekeuka miiko ya Utanzania.
    Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Annonymous wa 07:18:00 PM, nicely written, you have insight and wisdom, God bless my country, Tanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...