JEDWALI HILI NI KWA MUJIBU WA TBC ONE INAYOPATA MATOKEO MOJA KWA MOJA TOKA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA KUYATANGAZA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ankal nimekukubali. You are a real pro when it comes to sensation. Yaani unatuweka viroho juu kupata matokeo na unayatoa moja moja tena ya uhakika bila ushabiki. Hivi mablogga wengine wanaona mfano huu. Unapigwa vijembe kuwa wewe ni CCM hujali wala hutetereki, unaleta kile kinachokuja kwa uhakika. Ubarikiwe mwanangu

    ReplyDelete
  2. Bro uongo huu

    ReplyDelete
  3. Jamani tunaomba TBC wapunguze propaganda wametuandikia`"Wengineo 0" wakati kuna vyama vingine vimeshinda kama TLP Jimbo la Vunjo

    ReplyDelete
  4. Matokeo haya ni Tanzania Bara peke yake au na Zanzibar? Mbona haiko clear?

    ReplyDelete
  5. Update hiyo chati basi maana unaendelea kutoa matokeo lakini hii chati umeisahau.

    Mdau N> America

    ReplyDelete
  6. Source: BBCswahili Ustream, www.mwananchi.co.tz, wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi, majimbo yaliyotwaliwa na vyama vya upinzani mpaka sasa ni :
    1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
    2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
    3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
    4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
    5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
    6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
    7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
    8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
    9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
    10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
    11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
    12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
    13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
    14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
    15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
    16.Vunjo - Augustino Lyatonga - CHADEMA

    ReplyDelete
  7. Sahihisho, Lyatonga Mrema ni TLP:
    Source: BBCswahili Ustream, www.mwananchi.co.tz, wasimamizi wa majimbo ya uchaguzi, majimbo yaliyotwaliwa na vyama vya upinzani mpaka sasa ni :
    1.Musoma mjini - Vincent Nyerere- CHADEMA
    2.Iringa mjini - Mch. Peter Msigwa- CHADEMA
    3.Lindi mjini - Salum Halfani Barwani- CUF
    4.Arusha mjini- Godbless Lema - CHADEMA
    5.Mwanza Nyamagana- Hezekiah Wenje - CHADEMA
    6.Moshi Mjini- Philemon Ndesamburo - CHADEMA
    7.Maswa Magharibi- John Shibuda- CHADEMA
    8.Maswa Mashariki- Silverster Kasulumbayi- CHADEMA
    9.Ukerewe - Salvatory Naluyege- CHADEMA
    10.Biharamulo - Dr. Mbasa - CHADEMA
    11.Ilemela - Haines Samson- CHADEMA
    12.Meatu- Meshack Opulukwa- CHADEMA
    13.Kigoma Kaskazini- Zitto Kabwe- CHADEMA
    14.Mbeya mjini - Joseph Mbilinyi - CHADEMA
    15.Hai Kilimanjaro- Freeman Mbowe - CHADEMA
    16.Vunjo - Augustino Lyatonga - TLP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...