Mdau Michael Karani akipozi na mzee wake mara baada ya kula nondozzzz ya ualimu katika Chuo cha Dar es salaam University college of Education (DUCE) kilichopo Chang'ombe jijini Dar.
Hongera mdau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. icho kizibao kama cha Ankal

    ReplyDelete
  2. Safi sana mdau. Hii inaonyesha ni wapi umetoka na kupita majaribu yote ya hapa duniani. Mzazi wako hana budi kujisikia kwani kwa Tz ni asilimia chini ya 4% wanaoweza kupiga hatua kama yako mdau. Big up kwa sana na hongera kwa mzazi wako pia ambaye bila shaka anamchango mkubwa kwa mafanikio yako.

    ReplyDelete
  3. hongera sana

    ReplyDelete
  4. Namzimia sana msure wako hongera kwa kumaliza chuo. Always be proud of yourself and your culture

    ReplyDelete
  5. Msimwone huyu dingi na hicho kizibao huku Ar tunawajua sana ukishamwona na hiyo kizibao na kiatu na soksi basi ujue ndani ameficha Tanzanite so kwa wale mabinti wa kuchuna wanajua vizuri kitu naongea si choka mbaya wadau ni kalture tu hio

    ReplyDelete
  6. Hongerera sana njeree, sasa ukalitumikie taifa kwa uadilifu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...