Kamanda wa kikosi kazi Ras Makunja


Bendi ya Ngoma Africa aka FFU yenye
maskani yake Ujerumani inawapa mkono
wa Idd wadau wote nakukutakieni
Eid-El-Hajj njema.
Burudika at www.myspace.com/thengomaafrica
pia
www.unheardradio.com/The_Ngoma_Africa_Band

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kamanda tumepokea mkono wako wa Idd lakini tunaogopa virungu vza ffu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...