Marehemu Agnes Massawe
1954 - 2010

Ndugu Watanzania wenzetu na jumuiya yote ya New England Umoja,
Kwa niaba ya ndugu zetu kaka Bernard "Ben" Massawe na dada Bene Massawe, pamoja na familia yote ya Massawe, ndugu, jamaa na marafiki, tunauchungu mkubwa moyoni kuwatangazia kuwa Mama AGNES MASSAWE mzazi wa Bernard "Ben" na Bene amefariki dunia huko nyumbani Tanzania, Jumatatu tarehe 01 Novemba, 2010.

Tunawaomba wanajumuia wote mjumuike na wenzetu kwa hali na mali, katika wakati huu mgumu wa maombolezo. Tunaweza kuwasiliana na wafiwa kuwapa pole kwenye, simu ya nyumbani (413) 788-7181, au Mobile (413) 364-7093.

Tunawaomba wanajumuia wote tuwakumbuke wenzetu katika maombi, na kama ilivyo kawaida yetu kusaidiana katika kila hali wakati wa msiba mzito kama huu. Wafiwa wanatarajiwa kusafiri kwenda nyumbani (Tanzania) kwa ajili ya mazishi jumatano tarehe 03 Novemba, 2010.

Mwenyezi Mungu amjalie marehemu mama, alale mahali pepa peponi, Amina.
Anuani ya wafiwa: 65 Craig Drive, Apt Z3, West Springfield. MA. 01089.
Mnaweza kutuma rambi rambi kwa kupitia account ya benki:
Bank Of America
Name: Bernard M. Massawe
Checking Account No. 009466028735
Route Number: 011000138

Kwa kutoa mkono wa pole na maelezo zaidi wasiliana na:
Stephen Tomi, Chairman (413) 658-5253
Salum, S. General Secretary (617) 308-2971
Aloyce (413) 363-1627
Baraka (901) 297-6464
Siraji (978) 413-1164
Chris Mwakapusya (413) 219-7055
Makala Francis (413) 636-5778

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. POLENI WAFIWA, POLENI NEW ENGLAND UMOJA. MAY HER SOUL REST IN PEACE.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana Digna na familia yote. Mungu awapefaraja na nguvu ktk kipindi hiki kigumu. May her soul rest in eternal peace. Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...