Salam,

Habari za kuthibitisha kutoka Urban Pulse zinathibitisha kuwa Msanii Daimond tayari katua Ndani ya UK tayari kwa ajili ya kukamua show ya Urban Tour kwa ajili ya kuchangia kupigana vita dhidi ya Malaria. Show yake ya kwanza itafanyika katika Mji wa Milton keynes Jumamosi hii tarehe 6.11.10 ndani Ya Club OPUS.

PRICE Price £10.00 BEFORE MIDNIGHT MORE AFTER
VIP £20.00

WOTE MWAKARIBISHWA,
URBAN PULSE CREATIVE MEDIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi sijawahi kuona juhudi zozozte za kuangamiza mazalio ya mbu kwenye eneo ninaloishi kwa zaidi ya miaka kumi, mbu wamekuwa ni sehemu ya jamii yetu huku wengine wakineemeka kwa kuiuzia serikali vyandarua feki. Mbu na malaria vimegeuzwa kuwa ni mradi wa kujitajirisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...