MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA URAIS ZANZIBAR YAMEKAMILIKA NA HIVI SASA TUME INATARAJIWA KUTANGAZA MATOKEO WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA BAADA YA MATOKEO YA MAJIMBO YOTE YA ZANZIBAR NA PEMBA KUKAMILIKA.
JUMLA YA WAGOMBEA SABA WALISIMAMA KUGOMBEA. TUVUTE SUBIRA MATOKEO TUTAWALETEA MARA YATAPOTANGAZWA. HIVI SASA MWENYEKITI WA TUME ANATOA HOTUBA YA KUHITIMISHA...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. It's time for CUF kutafuta mtu mwingine sasa. Maalim ameshachoka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...