Juu na chini Mbunge mteule wa jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA Godbless Lema akiwa anaondoka katika ofisi ya halmashauri ya jiji la Arusha mara baada ya kutangazwa kuwa mbunge akiwa anasindikizwa na wanachi pamoja na wapambe wake. Mh. Lema amepata kura 56, 569 dhidi ya Dk. Batilda Burian wa CCM aliepata kura 37,460. Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii
Home
Unlabelled
Godbless Lema aibuka kidedea A-Taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Gooood, ongeza speed kuweka matokeo kila yanaposikika. Wengine tunategemea hapa kupata taarifa sahihi. Ungeweka pia chart ya kuoshesha mwelekeo wa matokeo katika ubunge na udiwani
ReplyDeleteMichuzi ulikuwa unabana ,sasa unaanza kubanua mwenyewe.
ReplyDeleteNa kule Hai je? tehe tehe tehe!
ReplyDeleteChange is comming
ReplyDeleteYAP! CHANGE IS COMING. CHANGE IS COMING! TUTAFIKA TU, SIO LEO LAKINI TUMEPIGA HATUA. CHANGE IS COMING!!!!!
ReplyDeleteArusha Town they know better...Love my old city...heheheh
ReplyDeleteHuyu ndugu aliyekaa hapo juu ya hilo gari jamani usalama wake mbona anauweka mashakani, hope sio mbuge aliyechaguliwa kama ni yeye tunakoelekea ni kubaya. Its good to win but that kind of celebration is owkward
ReplyDeleteHapa kura zimekataa kuchakachulika. Tehe tehe tehe!
ReplyDeletemdau wa Mon Nov 01, 10:46:00 PM,
ReplyDeletevipi na wewe?embu toka hapa
LEMA TUNATAKA MABADILIKO YA KWELI HAPA ARUSHA! MAMBO YA KUKWAMA KULE NJIRO WAKATI WA MVUA TUNAOMBA IWE HISTORIA KWETU! AU SIYO WADAU!
ReplyDelete