Ndugu Wana-Jumuiya,

I am very sad to inform you that our beloved sister Juliana Senya passed away last night at UCLA Harbor Medical Center. The family of the late Juliana Senya have requested us to transport her body to Tanzania. Currently the total cost of transporting the deceased to Tanzania is estimated at:

· $ 6,700.00 Transportation to Tanzania, this is high due to the season

· $ 2,100.00 Casket

· $ 4,112.95 Funeral Home Services
---------------
$12912.95 Total

-
This Saturday December 18, 2010 at 6 pm we will have an emergency meeting to plan and raise funds to cover the costs of transporting our beloved sister to Tanzania, please come to extend your sympathy and support at the following address location:
14006 Doty Avenue Apt# 17
Hawthorne, CA 90250
-
Dada Juliana Senya had the love of her life who is our brother Ndugu George Mutafungwa, please make every effort to call and encourage him during this difficult time. You can reach him at (323)984-0617 cell or
georgemutafungwa@yahoo.com email.

-For those who won’t be able to make it this Saturday, please make every effort to extend your financial contribution (rambirambi) so that we can honor the request of her family to transport the body of our beloved sister to Tanzania. The details below are for the newly opened account to facilitate all contributions toward transporting the body of our beloved sister to Tanzania...
-

Bank Name: Bank of America
Name on Account: Khalipha Majid
Account Number: 2153171397

Routing Number: 122000661

NOTE: This account will be closed as soon as the body of Juliana Senya is transported to Tanzania, we will also provide the financial reporting at that time.
-

Our support is needed during this difficult time, please pray for the family of the late Juliana Senya and all those all those who are emotionally attached to her passing away.

-
For any additional information please feel free to contact:

· Khalipha Majid, Treasure of the Tanzanian Community in Southern California at khaliphaa@yahoo.com email or (213)841-1994 cell

· Iddy Mtango, Chairman of the Tanzanian Community in Southern California at iddymtango@yahoo.com email or (323)496-4920 cell

-May God rest the soul of our beloved sister in peace, Amina.

-Mwenzenu, Iddy Mtango

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Kwanza poleni sana kwa kufiwa.

    Pili, naomba uwajulishe jumuia ya Watanzania wenzako kuwa kwa kupunguza matatizo kama ya kuomba rambirambi. Swala hili tulizungumza katika jumuia yetu hapa Bosotn na sasa kila mwanachama analipa insurance ya kifo (life insurance) na ni rahisi mno, sio zaidi ya dola 35 kwa mwezi. Mtu akifariki kwa magonjwa yoyote au accident na sio kwa kujiua, Mutual Life Insurance yake inalipa dola laki mbili. Nadhani hii itapunguza matatizo ya kutafuta misaada kila mara mtu atakapofariki na maiti kupelekwa nyumbani.

    ReplyDelete
  2. poleni sana,pili andikeni kiswahili wengine hatuelewi kizungu vizuri ss tutawasaidiaje wakati hatujaelewa.nalingingine naomba mielekeze wapi wanafundisha lugha nikasome maana ni aibu

    ReplyDelete
  3. RIP Juliana.
    Kuchangiana ni vizuri lakini nadhani umefika muda wa sisi ambao tupo huku kuanza kuchukua bima za maisha kwani zitasaidia shughuli kama hii. Bima hizi zinagharimu pesa ndogo kwa mwezi kulingana na kiwango unachotaka.
    Samahani sitaki kuonekana kama sio binadamu ninayejali wafiwa ila hiki ni kipindi kizuri kukumbushana kwani wote tutakufa muda wetu utakapofika na ni vizuri kuwaacha wale tunaowapenda kwenye hali nzuri( Bila madeni)
    RIP Juliana.

    ReplyDelete
  4. RIP dada Julie...!

    Kaka Muddy

    ReplyDelete
  5. Liliane-MikocheniDecember 17, 2010

    RIP Juliana, na pole nyingi kwa Mama Senya, kaka zako na nduguzo.

    ReplyDelete
  6. kwanza poleni sana wafiwa hasa wale wote mnaoishi huko Ng'ambo. huu msiba unasikitisha sana.
    Pili napenda kuungana na watoa maoni wa kwanza na tatu kuhusu suala la bima. kwa wewe kiongozi wa huko mtakapofanikiwa kukusanya michango wakati mkiwa mnaaga maiti please wakumbushe ndugu jamaa na marafiki kuhusu hizo bima. Tumesikia uchungu sana huku Tz lakini hatuna namna ya kufanya. Tunamwomba Mungu awasaidie muweze kutusafirishia mwili wa ndugu yetu. Amen.

    ReplyDelete
  7. Ni George Mtafungwa aliyekuwa mchezaji wa CDA Football Club ya Dodoma miaka ya late 70s?

    ReplyDelete
  8. Poleni wafiwa,na pia asanteni wadau kwa ushauri mzuri wa bima.Niko UK na nimeamua baada ya kusoma comment zenu kutafuta bima nzuri ili nikifa mambo yaenda salama bila matatizo ya kusubiri mchango.Sina watu wengi wanaonijua huku so ni bora tu nijistiri mapema.

    ReplyDelete
  9. Naungana mkono na watoa maoni hapo juu lakini hata ukiwa na bima ya maisha inachukua muda kampuni ya bima kupitisha maombi. Je mwili wa marehemu ukae zaidi ya mwezi kusubiri pesa toka kwenye Insurance Company?

    Kitu muhimu ni kwa jumuia kufungua account ambayo itatumika wakati wa shida na pesa zinarudishwa baada ya bima kulipwa. Sio kama hapo California ambapo account inafungwa baada ya mwili kusafirisha au account kuwa kwenye jina la mtu binafsi.

    ReplyDelete
  10. Julie, mwanangu ulale salama. Uhai wako umefupishwa, sijui ni mapenzi ya Muumba wako au? Tunakuombea kwa Mola akupe mapumziko ya milele, sote ni wapita njia... M'enzi, tuangalie kwa huruma na utuepushe na mauti, ili nasi tuje tuufurahie Utukuku wako Mbinguni, Amen.

    MaMdogo
    London

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...